Nataka kumuacha mke wangu

Nataka kumuacha mke wangu

hebu kwanza funguka, kazini anataka uende nae akafanye nini? isije ikawa ana sababu ya msingi kabisa, maana hapa hujafunguka vizuri.

Yaani hataki nimuache, kama kumbikumbi hadi kazini, mtu unaenda kwenye mikutano, vikao na nimbali toka tunako ishi as km15-20
 
Hili tatizo peleka muhimbili wodi ya vichaa, ikishindikana mirembe. zamani watu walikua wanadodosa familia za watu kabla ya kuoa/kuolewa ili kuepuka kuoa au kuolewa na mwendawazimu kama huyu mkeo, siku hizi maana tunajifanya wa mjini sana tunaokototana tu, kumbe watu wana magonjwa yako ya kurithi, vikiamka vile hujui unakuja MMU kuomba ushauri.
Yaani hataki nimuache, kama kumbikumbi hadi kazini, mtu unaenda kwenye mikutano, vikao na nimbali toka tunako ishi as km15-20
 
Sasa hapa ngoja nichanganye na zakwangu mrejesho utarudi. nashukuruni sana wana jukwaa
 
bab-D

kaa nae chini umueleweshe kwa upole kabisa maisha yanvyokwenda. hana kosa kubwa la kufikia kuvunja family. angekuwa wa hovyo angekubwaga wakati huna kazi. inaonekana anakupenda sana.
Hivi nani alisema watu wote wakipata mgogoro ni lazima wakae chini?? chini kuna nn?
 
Mwanamke mwenye akili timam hawezi kutaka muende wote kazini au kuzuia husiende kazini bure, nazani tabia ktk ndoa yako huenda si za kiungwana
Kaa Na mkeo mrekebishe mapungufu yenu

Asante jigo....
 
Yeye hata akija rafiki ukimsindikiza ukirudi anataka akague chupi aone kama salama

Aroo! Kumbe mpo wengi sana humu ukumbini, kuna mwingine alilalamika kuwa akirudi home toka job anakaguliwa chupi na kuminywa minywa mapumbu, kazi mnayo.
 
mkuu mwache haraka xn....niPM contact zake tubadilishane maana mke wang hata nirudi kesho hauliz sasa nimechoka nataka wa aina ya wa kwako.....chap chap nasubir mrejesho
 
mkuu mwache haraka xn....niPM contact zake tubadilishane maana mke wang hata nirudi kesho hauliz sasa nimechoka nataka wa aina ya wa kwako.....chap chap nasubir mrejesho

Ni pm za huyo wa kwako kwanza nimsikie
 
Itisha kikao cha kamati waliokaa wakati unaoa ili wavunje ndoa. Simple like that.
 
Unajua maana ya ndoa wewe?
Kwanza inavyoonekana mkeo humpendi . eti anachelewesha chai? hiyo nayo sababu? unajua anavyochoka katika kukuhudumia na kulea watoto na kuweka nyumba sawa? mbona hutuambii huwa analala saa ngapi? unafikiri kukaa mtu mama wa nyumbani anakuwa hana majukumu?je umemwekea housegirl na bado hakutayarishii chai mapema?
Sababu zako nyepesi mno... nyie ndiyo mi janaume mnaotelekeza familia zenu kwa kukimbia majukumu...
ulishamuuliza kwanini anakufuata mpaka kazini?utakuwa na mapungufu wewe unajaribu kuona matokeo badal ya kujua sababu.
Na kwa taarifa yako ukimwacha huyo hutapata raha yeyote ya mke na familia katika maisha yako.Mikosi na laana itakuandama..mitafaruku na karaha za magomvi kati ya wanawake wawili uliozaa nao itakukondesha na hautafurahia maisha.Kikubwa muonye Mkeo kwa upendo, kama toka mnaoana hakuwahi kufanya hivyo(miaka ya mwanzo) basi ujue tatizo liko kwako linalomfanya akufuate ofisini...Hakuamini...na wewe si mwaminifu kwenye ndoa
 
Yaani hataki nimuache, kama kumbikumbi hadi kazini, mtu unaenda kwenye mikutano, vikao na nimbali toka tunako ishi as km15-20

nenda nae tu ndivyo ulivyomzoesha
 
Back
Top Bottom