bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,333
- 402
Nimeishi naye tangu 2006, kabla sijamuoa nilifanikiwa kujenga kinyumba changu huko kijijini. nikamuoa na nikapata kazi kagera sugar. lakini kila siku vitimbwi, anachelewesha chai, mara twende wote kazini, mwisho 2010 nikafukuzwa kazi.
2012 nikabahatisha Selikalini mpaka leo vitimbwi ni vilevile na mimi ni Field officer mara alazimishe twende wote mara hela ya mafuta afiche nisiende mpaka nimepewa barua ya onyo nifanyeje?
Huyu si nimuache tu kwa sababu nimepanga huku kazini yaani naandaa mazingira sikumoja atakuta sipo na sichukui chochote ndani vyote namuachia naenda kuanza upya tu.