Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Mkuu, Niamini wadada zetu hawa ni hulka tofauti kuliko tunavyo dhania "me" kumradhi mkuu jaribu uchukwe mapumziko nje ya mji wako....na ufikirie kichangaa chako pia!! Kwani makosa yasiyo na taathira huwa ni kadhia nyepesi la kupotezeka tu!! Tena unaweza tumia wakat i wa mbele huko kumkanya.... siyo instant (hapohapo) utaharibu kwako!!Asante kwa ushauri wako lakini nilimpeleka kwetu baada ya wazazi wake kunikatalia kwa kusema mila haziruhusu. Pia ujinga alioufanya huko hata kwangu alishafanya na nikamkataza lkn hakusikia
Huo utovu wa nidhamu baadhi (mwingi ) nimeuona mwenyewe
Mhusika nimemuuliza na kujibu kwa jeuri
Alienda kwetu kwasababu wazazi wake walikataa asiende kwao
Yeye mwenyewe hakupenda kwenda ukweni na hakukua na option nyingine.
Hakuna alishauri talaka isipokua ni maamuzi ninayotaka kuyafanya mwenyewe
Utovu wa nidhamu ni kama upi ulio uona wewe mwenyewe?
why kwao walimkataa?
Ni mwingi ukitia ndani kumtukana mkwe wake
Kwao walimkataa kwa kisingizio cha mila zao haziruhusu
Mkuu, Niamini wadada zetu hawa ni hulka tofauti kuliko tunavyo dhania "me" kumradhi mkuu jaribu uchukwe mapumziko nje ya mji wako....na ufikirie kichangaa chako pia!! Kwani makosa yasiyo na taathira huwa ni kadhia nyepesi la kupotezeka tu!! Tena unaweza tumia wakat i wa mbele huko kumkanya.... siyo instant (hapohapo) utaharibu kwako!!
Poleni...
OK sasa Mpendwa Fedy nimekupata... Haswa kuwa Mungu katuumba wanaume kuwa na Misuli,nguvu,Ukakamavu,ujasiri,uvumilivu nk nk!! na Kamuumba mwanamke kuwa na maneno (ulimi/mdomo mkali) na mbavu moja zaidi ya kulea kizazi chake!! Hivyo wee potezea..... hio siBig Deal!! ishi na familia yako vizuri..Kabla ya hili tukio nimekwisha mkanya mara kadhaa juu ya domo lake na mambo mengine lkn inaonekana hasikii
OK sasa Mpendwa Fedy nimekupata... Haswa kuwa Mungu katuumba wanaume kuwa na Misuli,nguvu,Ukakamavu,ujasiri,uvumilivu nk nk!! na Kamuumba mwanamke kuwa na maneno (ulimi/mdomo mkali) na mbavu moja zaidi ya kulea kizazi chake!! Hivyo wee potezea..... hio siBig Deal!! ishi na familia yako vizuri..
Kama sheria itanitaka nifanye hivyo ntatoa
Asante kwa ushauri wako lakini nilimpeleka kwetu baada ya wazazi wake kunikatalia kwa kusema mila haziruhusu. Pia ujinga alioufanya huko hata kwangu alishafanya na nikamkataza lkn hakusikia
data ngoja nkusaidie
We kweli mthenge...
Shahawa zako mwenyewe unasema matumizi kutoa kama sheria itakutaka.
Hujui kuwa ni jukumu lako ?
Au unafikiri kuitwa baba kunamaanisha nini ?
Thenge wahed na utaoa utaacha mpaka unazeeka
Unataka ushauri jf wa either kumwacha mkeo or not!u r so dumb, uz ur own common sense
Actually tukio limefanyika kama wiki mbili au tatu zimepita, nilikua na hasira kipindi hiko saiz at least zimeshuka