Tapelivaliyekubuhu huyo mkuuu,njombe aliwapiga milioni tatu kavu kavu. Pole
Huyu Muhando hamnazo kwanza anatuaibisha Wakagulu bora aseme amezaliwa huko huko ugogoni Kweli masikini akipata...
hapo ndipo mtakapojua mnawahitaji sana wanasheria, wawasaidie namna ya kuandika mikataba yenu hiyo. mimi ni mwanasheria, lakini kwasababu wewe uliyeandika hapa ninakufahamu, ni mimi nimpendwa mwenzako, hakushauri achana na kupelekana mahakamani,nenda kaongee naye uso kwa uso, asipokuelewa nenda kwa mzee wake wa kanisa, asipokuelewa tafuta rafikir zake/waimbaji wenzake kadhaa waombe mwende mkasuluhishane, ....akigoma maeneo yote haya jua ni tapeli hivyo nenda mahakamani, lakini kabla haujafanya hayo usiende mahakamani kwasababu atakachokipata mahakamani (madhara) na wewe yatakuathiri. najua ninachokisema.Ninataka kumshtaki Rose mhando kwa utapeli. Tafadhari naomba wabobezi Wa kisheria hapa Ndani. Mara ya kwanza niliandaa tukio tanga hakutokea sbb alipata ajali, nilimlipa nikasamehe. Mara ya pili niliandaa tamasha Morogoro.. Nikamlipa hakutokea kwa maelezo aliyojieleza.. Mara ya tatu nimeandaa tamasha Tanga hajatokea tena mara hii nikiwa nimeandikishana nae. Kilichoniuma zaidi ni pale aliponidanganya kwa kutaka pesa zaidi na kuniambia yuko njiani anakuja nimtumie pesa ya mafuta ya Gari.. Kumbe hata wazo la kuja Kwenye tamasha. Hana mpaka sasa ameshakula zaidi ya milioni nne kwa style. Tofauti je naweza fungua kesi mahakamani. Naomba msaada. Sasa hivi nilimpigia simu hapokei..
awaaibishe wakaguru, kwani rose muhango ni mkagulu au asili yake mtu wa Tanga, sema basi tu alizaliwa huko wilaya ya kilosa? au nimekosea, nikosoeni.Huyu Muhando hamnazo kwanza anatuaibisha Wakagulu bora aseme amezaliwa huko huko ugogoni Kweli masikini akipata...
Huyu Muhando hamnazo kwanza anatuaibisha Wakagulu bora aseme amezaliwa huko huko ugogoni Kweli masikini akipata...
baada ya kupiga hela zenu wapenda faida, asha tangaza kurudi alikotoka. islam
hapo ndipo mtakapojua mnawahitaji sana wanasheria, wawasaidie namna ya kuandika mikataba yenu hiyo. mimi ni mwanasheria, lakini kwasababu wewe uliyeandika hapa ninakufahamu, ni mimi nimpendwa mwenzako, hakushauri achana na kupelekana mahakamani,nenda kaongee naye uso kwa uso, asipokuelewa nenda kwa mzee wake wa kanisa, asipokuelewa tafuta rafikir zake/waimbaji wenzake kadhaa waombe mwende mkasuluhishane, ....akigoma maeneo yote haya jua ni tapeli hivyo nenda mahakamani, lakini kabla haujafanya hayo usiende mahakamani kwasababu atakachokipata mahakamani (madhara) na wewe yatakuathiri. najua ninachokisema.