Nataka kumsaliti mume wangu

Huu umri wa mumeo -49 years -ni sawa na wa William Malechela (Le Mutuz) na umri wako 26 ni sawa na ule wa mchumba wake. Je, unayemzungumzia ndiye huyo, huyo Le Mutuz???????
 
mrudishe kwa mkewe huyo babu.. kazi imemshinda.
 
Vunja ukimya. Mwambie kwanza mumeo kuhusu maradhi yako ya moyo.
Usichukue hatua ya kuzini kabla hujavunja ukimya.
All the best
 
bibie ..
we msaliti tu bana .. wala sio mbaya, jipe raha!

by the way.. ulivyotaka kumsaliti kipindikile na pedeshee mwingine mbona hukuomba ushauri.

...kikubwa kinachokuponza wewe ni tamaa ya hela, na hiyo ndio ilikufanya ukubali kuolewa/kuishi na mume mwenye umri mara 2 yako tena ukiwa msichana mbichiii.. umeolewa miaka 7 iliyopita na sasa una 26!

mwee hebu tuache tuendelee kufaidi siee.. uwiii
 
Mhhhhhhh...kuchapiwa nomaa kweli mwanitia mi uwoga naetaka kuoa
 
Ndoa ni ndoano kwel,naogopa hata kuoa kma mambo yenyewe ndo haya
 

Mimi ninaona tatizo ni fikra zako unaona kwa tofauti hii ya umri huyo mume sio saizi yako mengine yote ni visingizio kwani ukimwambia unataka dudu lake anakunyima?
 
Sihitaj kuchaguliwa ila nafikiria kama ntakuwa nakosea ndo nahtaj ushaur
Kukaa na mwanaume bila ndoa hapo unahitaji ushauri kabla ya kushauriwa kuanza mahusiano mapya. Lbd nikuulize ni kwanini mpaka sasa mnaishi kiuchumba. Je bado mnapimana/kuchunguzana kama mtaweza kuishi pamoja?????????
 
Ulivutiwa na nini kwa huyo bwana ambacho sasa kinakosa ilituanzie hapo. Hao watatu uliowaona hakikisha hawajaoa ili usivunje ndoa zao nzuri.
 
Waje waone mwenzao anavyotahabika...utasikia ooh shopping London...shopping London ikifika 6X6 zero....

Unakuja kugundua kuwa pesa si kila kitu ikiwa tayari too late!!!!

Asikudanganye mtu kuolewa na wa age yako raha bana...


Haya sasa wale wa ohoo vijana wa dot.com mtasubili sana wazee ndio mpango mzima.. Oneni mwenzenu yanamtokea puani mpaka anafikiria kusaliti ..nyooo!
 
Unaweza kuolewa na wa age yako akawa analala bar na kushinda nyumba ndogo. Maisha hayana formulae. Kuna mama anasemaga ujenzi wa mbezi beach, mkuranga, kimara ama kuhamia kwenye apartment masaki kila moja ina formulae yake. Ukitaka kuleta ujenzi wa mbezi beach kwenye dongo finyanzi la kimara mbona utalala nje?
Waje waone mwenzao anavyotahabika...utasikia ooh shopping London...shopping London ikifika 6X6 zero....

Unakuja kugundua kuwa pesa si kila kitu ikiwa tayari too late!!!!

Asikudanganye mtu kuolewa na wa age yako raha bana...
 
Hahahaaaa chagua kukandamizwa vizuri na masikini au kupapaswapapaswa na tajiri wako anaekupa kila kitu! Huwezi kuvipata vyote kwa wakati mmoja!
Kazi kwako! Au mcheat tajiri ila akijua wafwa!

Hahahahaha, umeniacha hoi hyo laini ya akijua wafwa
 
Tatizo la kuwa muongo bila kuweka kumbukumbu zako vizuri....


davina "ndo" yako ni miaka 5 au 7?

Halafu bado upo mkoani ulipohamia kikazi au bado,

na kama bado, unaendelea kumsaliti 'mumeo' kwa mshefa ua yule kijana mdogo anayependa starehe?
 
Nataka kukupa tu kaushauri:
Unamgusa yeye mara ngapi, kumwpnesha kuwa una hitaji haki yako ya usiku? Unajidhihirisha kwake mara ngapi? Waweza kutumia njia mbalimbali za kumwonesha kuwa unamhitaji. Kama vile, nguo unazovaa mkiwa naye, hujatueleza mazingira unayokaa. Mko peke yenu au pamoja na watu wengine.
Je, lugha yako kwake ikoje? Heri mtu kupiga punye kuliko kumgusa mwanamke mgomvi. Mnapokutana je unamtupia hapo ajihudumie mwenyewe au mna hudumiana? Mimi kwa mtazamo wangu, tatizo lipo kwako kwani umesema alikuwaga Fataki.
 
Huu umri wa mumeo -49 years -ni sawa na wa William Malechela (Le Mutuz) na umri wako 26 ni sawa na ule wa mchumba wake. Je, unayemzungumzia ndiye huyo, huyo Le Mutuz???????

You might be right
 

Ni-PM nikupe ushauri usio na gharama wala madhara ila utapima na kuamua kwa urahisi zaidi
 
Lazima kuna sababu tuu,cdhan km kuna mwanaume Ambae anaweza kufanya hayo bila sababu Za mcngi.na pengne wewe ndo uliye Anza kumnyima mwenzio na yeye akajipanga. We amua utakavyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…