Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,351
- 8,088
ananicare kwa kila kutu icpokuwa apo nliposema
Tena aombe na ruhusa ya kutoa na tiGo.... Shenzi kabisaMuombe mumeo Ruhusa,
Habari za humu jamani
mimi ni mwanamke nimeolewa miaka 5 imepita hatujafunga ndoa mume wangu ni mtu mzima kidogo ana miaka kama 49 na mm 26 bas nlishawahi kuomba ushauri meing humu na mkanisaidia
kwa sasa tunaishi kwa amani tabia yake ya ufataki sijui anaendeleza au kaacha cjui kwani simu zote ni pin ila ananipitia ofisini kwangu kila siku tunarudi wote!
tofauti iliyopo amekuwa mvivu tunaweza kukaa mwez au hata mwez na nusu bila kunigusa kabisa muda wote yupo bize na muv akirudi nyumbani
nmefikiria najihisi mpweke sana,nahisi nahitaji mtu wa kuniliwaza me ni mrembo sana kuna watu kama wa tatu wanantaka wawe na mimi kila mmoja ana sifa zake nafikiria kumkubalia mmoja wao angalau na mm nijihisi kama wanawake wengne.namis vitu vingi
naombeni ushauri wenu katika haya maamuzi

davina "ndo" yako ni miaka 5 au 7?
Halafu bado upo mkoani ulipohamia kikazi au bado,
na kama bado, unaendelea kumsaliti 'mumeo' kwa mshefa ua yule kijana mdogo anayependa starehe?
^^
Hiyo tofauti ya umri wenu 49-26= 23
Ilikuwa ndoa ya kulazimishwa? Au nini ulichoficha kabla ya kufikiria uamuzi huo?
^^