Nataka kumpeleka mwanangu hapa

Hapo ni mwisho wa mchezo.

Nimebahatika kusoma hapo miaka ya 80.

Siku hizi bei yake kubwa mno kama ya kwenda chuo kikuu.
 
Chuo cha wapi?

Miaka hiyo, unaweza kupata chuo cha kulipia Marekani $15000 kwa mwaka. Siku hizi chuo cha kawaida ni $25000 na kuendelea bila scholarship au uraia.
 
Kuna wakati Nyerere alikataza raia wa Tanzania kusoma hapo. Baadae ikaruhusiwa. Nafahamu, nilikuwepo walipokataliwa rafiki zangu. Lakini sheria haijakaa sana. Sijui sababu.
 
Kama unafanya kazi hapo, watoto wako wanasoma bure. Sijui siku hizi, kwa walimu wa Kiswahili.

Pia, division 1 wa Tanzania walikuwa wanapewa scholarship ya kusoma IB one and two (form 5 & 6) halafu wakasimamisha.
 
Hii amount mtangaza nia anaitumia vilivyo kununua vilemba na kofia.
 
Kama unafanya kazi hapo, watoto wako wanasoma bure. Sijui siku hizi, kwa walimu wa Kiswahili.

Pia, division 1 wa Tanzania walikuwa wanapewa scholarship ya kusoma IB one and two (form 5 & 6) halafu wakasimamisha.

Hiyo program ya waliopata div one ipo hadi leo. Nawajua watu wengi waliofanikiwa chini ya hiyo program.
 
Kiboko ni Mzee Mrema wa Impala Arusha.. Watoto kumi wote wamesoma ISM ambayo ada inaizidi IST kidogo

Ofcourse kaka. Kama una biashara nzuri ambayo annual revenue inazidi milion 200 ambazo wabongo wengi wanazo hizo biashara unamsomedha vizuri mwanao hapo.

Sema wengi hawawapeleki wanao labda hawajui au wana kariri kuwapeleka shule za sekondari za kawaida.

Kuna mzee mmoja ana biashara downtown arusha, amesomesha wanae ISM tena kwa pesa zake.
 

Kila la heri mkuu ukitia mkazo mzito kwenye zile ishu zetu utasomesha bila shida!!!
 
Mimi wanangu hawatasoma hizi shule za shida hela ikiwepo watasoma hapo kama uncle zao
 

Yap sure mkuu.. Tatizo matajiri wengi wakibongo washamba. Alafu mi naona IST mablack ni wachache sana kuliko ISM. Matajiri wengi wa Arusha wanajitahidi kuwapeleka watoto ISM na Brueburn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…