Nataka kumaliza mkopo kwa mkupuo

Huo ni uhuni wa Microfinance lakini Bank ukilipa at per wanakupiga Fine ya Kama 6%.
 
Habari zenu jamani, ninamkopo bank ya bayport na nataka kuumaliza.
Nimeanza kukatwa 10.2015
Nimejaribu kuwasiliana nao wanakataa nisiwape cash ili nimalize mkopo complete.
Naomba msaada zaidi.
Soma mkataba uliosaini. Unaweza kupata mwanya wa kutokea.
 
Habari zenu jamani,

Ninamkopo bank ya bayport na nataka kuumaliza.

Nimeanza kukatwa 10.2015

Nimejaribu kuwasiliana nao wanakataa nisiwape cash ili nimalize mkopo complete.

Naomba msaada zaidi.
vi microfinance vingine ni wizi wizi tu. lengo ni wanataka wafaidi muda unaochukua kulipa deni lao. Next time nenda bank.
 
Habari zenu jamani,

Ninamkopo bank ya bayport na nataka kuumaliza.

Nimeanza kukatwa 10.2015

Nimejaribu kuwasiliana nao wanakataa nisiwape cash ili nimalize mkopo complete.

Naomba msaada zaidi.
Rudi kasome masharti ya mkopo yanasemaje utapata jibu
Ukiwalipa kwa mkupuo faida watapata wapi?
 
Habari zenu jamani,

Ninamkopo bank ya bayport na nataka kuumaliza.

Nimeanza kukatwa 10.2015

Nimejaribu kuwasiliana nao wanakataa nisiwape cash ili nimalize mkopo complete.

Naomba msaada zaidi.
Hao dawa yao ndogo ukitaka kuacha kazi unawafuata Wakigoma tengeneza ushahid baadae wanavo kuja kukutafta Unawaambia tu wakati nipo na mlikataa na sasa Sina pesa basi
 
Habari zenu jamani,
Ninamkopo bank ya bayport na nataka kuumaliza.
Nimeanza kukatwa 10.2015
Nimejaribu kuwasiliana nao wanakataa nisiwape cash ili nimalize mkopo complete.
Naomba msaada zaidi.
kalipe mkuu Ila jua percent yao iko palepale, hawaiachi wala kupunguza. Hapo upokea fasta tena wanakubembeleza uchukue mwingine x2 zaidi ya hawali. Maana wamepata faida chapu kuliko walivyotegemea. Profile yako inakua nzuri sana kupewa mkopo tena bila chenga yoyote, yani fasta
 
Kopa kunapokua kuna uhitaji tena wa biashara sio binafsi. Kukopa kwa biashara ni faida inakuza biashara
 
Back
Top Bottom