Mi niliishiti baada ya kunitaka ku-update na hapo hapo wakanitaka niinunue. Nadhani unaweza kuinunua toka apple store (sima uhakika).
kama una paypal account unaweza ukalipia
mdau Kwan Ikishaisha Hii Trial ya Mwaka Mmoja inajifunga au??? Na paypal AC unaipataje.
subiri mpaka zikibaki kama siku mbili hivi utaona wamekuongeza miezi sita au mwaka, ukikimbilia kulipa inakuwa imekula kwako, ila ukisubiri utaona wamekuongezea mieziwakuu free time ya kutumia whats app imekwisha nifanyeje ili kulipia tena natumia android na je kununua apps pia unafanyaje?????? heshima kwenu
Paypal naipataje?
munjy mie nkupe bei gan unishushie kwenye iPhone 4 yangu (unantumia username na password ua apple nashusha mzigo then nakutumia fedha kwa tigo pesa. I need that Application mannipo mkuu nasoma tu, mie mtu akinipa buku 10 na activate whatsapp yake miaka 5 ndani y dakika 5 tu kazi imemaliza.
bora ujifunze uinunue mwenyewe kwanza inaCost $0.99 ~ Tsh 1,650/= na itakusaidia kununua applications zingine muhimu tofauti na whatsapp, au online purchases ya vitu vingine..munjy mie nkupe bei gan unishushie kwenye iPhone 4 yangu (unantumia username na password ua apple nashusha mzigo then nakutumia fedha kwa tigo pesa. I need that Application man