Nataka kulamba kitu kitamu

Nataka kulamba kitu kitamu

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,904
Naihisi uchungu kwenye ulimi wangu so nahitaji kulamba kitu chenye utamu
 
sas chumv ni tamu mkuu?

Rosti la kuku ama la maini lililopikwa kwa kiwango ! Litakua na taste ipi ? TAMU au CHUNGU ?
Na kufikia kiwango cha ladha itahusika SUKARI au CHUMVI ?
Naomba jibu.
 
Lamba ASALI ya nyuki wa Tabora. The best in Africa South of The Sahara.
 
nitonye una mambo wewe... Sasa si ulambe hata sukari tu!..
 
Si unakumbuka siku ile nilisema nakula asali na masega? Vipo hapa ningekutumia lakini mbali.Dah jaribu tu chumvi, ni tamu ukishameza
 
Ukilamba kitu kitamu haitakusaidia....! @ nitonye

Nenda zahanati,huenda una Malaria...
 
Si unakumbuka siku ile nilisema nakula asali na masega? Vipo hapa ningekutumia lakini mbali.Dah jaribu tu chumvi, ni tamu ukishameza

Asali sawa lakini masega napata wasiwasi
 
Mkuu hayo nilisha yatafunaga kitambo tatizo yanavimbisha tumbo

Hujapata yenye kiwango....ulikula yaliyochakachuliwa.Me mwenyewe nakula mpaka napata njaa badala ya kushiba
 
Hujapata yenye kiwango....ulikula yaliyochakachuliwa.Me mwenyewe nakula mpaka napata njaa badala ya kushiba

Masega tatizo lake hayachelewi kukwama kwenye jino na hivyo kujikuta linachokonolewa bora asali yenyewe inateleza unailamba vizuri
 
Naihisi uchungu kwenye ulimi wangu so nahitaji kulamba kitu chenye utamu

Nasikia sumu ni tamu tamu, embu jaribu kuilamba uchungu utaisha.R.I.P
POPOBAWA.
 
Back
Top Bottom