Nataka kukomesha ujinga kwenye ubinadamu.

Nataka kukomesha ujinga kwenye ubinadamu.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
910
Reaction score
2,012
Kuna upuzi unaendelea kwenye ubinadamu. Na nispochukua hatua za haraka na za maksudi humanity will be doomed.

Binadamu amekuwa kiumbe wa hovyo mbinafsi na mchoyo.

Kuna baadhi ya binadamu wanachezea fedha na rasilimali kwa mambo ya kipuuzi na kusahau binadamu wenzao ambao ni less fortunate na wahitaji.

Nitaanza na hapa nyumbani na Faru chinja wote, naenda kwa vyura wa kihansi chinja yote. Na zama pwani ya mafia chinja whalesharks wote. Hawana maana wanamaliza hela tu.

Naingia hapo Kenya kuna mitembo uchwara super tusker nayo chinja yote. Naingia Uganda angamiza korongo wote. Hiyo haitoshi Kigoma, Congo na Rwanda kuna misokwe uchwara mountain gorillas chinja yote.

Opereshen inaendelea hadi China kuna teddy bears uchwara Panda chinja wote bila huruma.

Naingia Jirani Nepal na India mi snow leopard nayo na chinja.

Naingia Australia yale bushbaby Koala nayachinja yote.

Natinga kwa kiranja mkuu yale ma bald eagle nembo yao ya taifa yote nayachinja.

Wakati bado nipo kwa kiranja mkuu naanza kulipua the statue of liberty.

Naingia NASA nakulipua space X kote huko ni mwendo wa kuangamiza.

Hiyo Artemis II rocket inayotaka kwenda space nayo nailipua.

Na paa juu astronaut wote ISS nawarudisha duniani halafu nailipua.

Naenda Paris louvre Chanachana Mona Lisa na mi Picasso na masterpieces zingine uchwara.

Naingia uingereza mijiwe flani uchwara stonehenge teketeza.

Italia coliseum na tower of pizza yote lipua. Mji wote wa Florence na zamisha.

Ingia Ugiriki Pathenon angamiza.

Narudi tena homu sijui eti nyayo za kwanza za binadamu sawazisha kutifuq ardhi na kufuta hizo nyayo.

Naingia bahari na kuua blue whales wa kutosha.

Baada ya haya yote heshima inarudi. Ubinadamu lazima uheshimike.

adriz de mbusii
 
Bwashee badilisha bangi unayovuta ,huo udongo inapotokea hiyo bangi sio mzuri , ipo siku utajipaka mapupu usoni, ukifikiria ni mafuta ya kujipaka.
Anaonekana ni kiumbe mwenye mawazo mazuri kama akituliza akili zake tatizo ganja nyingi
 
Back
Top Bottom