Ajira zao serikalini chache na ht Ngo's nafasi chache, wenye dili ni wale wanaojiendeleza wakiwa kaziniWana JF naomba kujuzwa ukweli wa hili swala Ivi ni kweli Degree ya ukunga na uuguzi soko lake la ajira ni finyuuu?
SomaWana JF naomba kujuzwa ukweli wa hili swala Ivi ni kweli Degree ya ukunga na uuguzi soko lake la ajira ni finyuuu?
Wana JF naomba kujuzwa ukweli wa hili swala Ivi ni kweli Degree ya ukunga na uuguzi soko lake la ajira ni finyuuu?
Sawa mkuuSoma
Kasome wewee utakuwa unaPV kila siku mpaka rahaa

Mnasoma vitu vya kiduanzi sana.


Jiandae mkuu na mtoa mada.