wakuu wote wa jf kwanza hali zenu wote humu ndani naomba kuuliza suali
je kuna decoder ambayo inatumia internet cable badala ya kutumia dish na kupata chanel za aljazeera kwa wanao jua naomb amaelezo zaidi ahsanteni
Utakuwa una Refer Dreambox au Skybox. Hizi decoder zinatumia Cable ya Internet kupata Channels. Kwa Llugha ya Kitaalam hujulikana kama CCCam or Card Sharing.
Decoder hizi hutumika ku-share channels zozote za Pay TV.
Naomba nisiende mbali. Nami nikupe Home work uka Google
CCCam au Card Sharing.
Najuaa kuna watu wataja shusha Nondo hapA baada ya kuona haya Maneno Mawili ya. CCCam na Card Sharing.
Karibuni tupeane Ma-Knowledge.
nimeona dream box ila sijasoma maelezo zaidi jee ukiwa nayo hii dream popote pale ukiwa na internet na ukawa na card ya aljazeera sport itafanya kazi without dish .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.