Nataka kujua

Nataka kujua

Chamalama

Senior Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
131
Reaction score
44
Wadau nifahamisheni!
Ningependa kuwa mtengenezaji au muendelezaji (developer) wa software!
Je, natakiwa nisome kozi gani na chuo gani hapa bongo kiko vizuri?
Elimu yangu B.Sc. Ed.
Ahsanteni!
 
Wadau nifahamisheni!
Ningependa kuwa mtengenezaji au muendelezaji (developer) wa software!
Je, natakiwa nisome kozi gani na chuo gani hapa bongo kiko vizuri?
Elimu yangu B.Sc. Ed.
Ahsanteni!
Pole kwanza kwa kuwaza kujifunza kitu kipya au kubadili fan.Sasa sijui nikushauri vipi kama unataka kuvijua kwa undani zaidi uko tayari kurudi chuo say miaka mitatu?Pesa ipo,kama ulisomeshwa na loan bord first degree huwezi pata mkopo tena.
Tafuta vyuo vinavyofundisha software engineering,au programming kwa wingi,fanya research vyuo vingi vya technologia wanatoa hizo course.
Siwezi kukushauri vicourse vya miezi mitatu utapoteza pesa yako labda kama unataka kuspecialize kwenye vitu vichache.
sijui ulisoma education ya field ipi physics,maths,botany or whatever ila huku unakotaka kuja maisha yako yatakuwa mepesi kama hesabu zinapanda.Unatakiwa uwe na uwezo mkubwa wa kufikili.
Udom-software engineering,DIT,udsm-computer science,Comp engineering &IT,st.Joseph wewe tu na kichwa chako na muda na pesa yako.
Wewe uko mkoa gani?
 
Nilisoma B.Sc. Ed (Math & Chemistry), kiukweli hesabu niko poa!
Natarajia nitakuwa Magu, Mwanza hivi karibuni kuanzia tarehe 4 March!
 
Nimepangiwa Magu, kwani nilihitimu chuo mwaka jana!
 
Nataka kuvijua kiundani, hata kwa kurudi chuo tena sio mbaya!
 
Karibu tupige code mkuu, ila inahitaji juhudi za juu sana maana code si hesabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom