Narudi tena jaman huu uzi niliuandika mapema sana maana nilikua nashawishiwa kujiunga lakini nikisikiliza maelezo ya kampuni inafanya kazi gan hata sielew leo nakuja ku conculude mambo ni moootooo
Je bado Una maoni hayo hadi sasa? Je bado mwala au ndo mshaliwa? Hatukutilia shaka hao matapeli bali tulijua kabisa hatima ya ponzi ni wachache kufaidi vijisenti na wengi kupoteza mamilioni ya fedha zao. Kifuatacho sasa ni kwenda polisi kushtaki kampuni ambayo haijulikani ilipopotelea na kulaumu Benki Kuu. Kumbuka tamaa mbele mauti nyuma.