una IDs ngapi ?Acha maswali mengi sisi huku tumejiunga longtime kwa sh 20,000 na kila siku unapiga kamisheni ya sh 800 siku zinavyoenda mbele kamisheni inaongezeka kwa sasa napiga 6000 kwa siku.. jiunge hapa kwa link hii maisha magumu!! Kalynda
Kua makini mkuu ukiingia uko jiandae utapigwa mwingi hadi uchakae na utabaki huna wa kumshtaki hii ndio BONGO
Mimi mwenyewe nilifikiri wame edit sio Itv Lakini jana naangalia ITV naona kipindi kile cha michezo segment ya habar wanawatangaza hawa mabwana na redio nyingi sana zinawatangazakuna jamaa yangu katumia nguvu nyingi sana kunielewesha ila nmetoka mtupu,kuwa makini hawakutangazwa itv but kuna tangazo utatumiwa na wahusika kuonyesha kuwa ni itv
Mimi mwenyewe najiuliza hawa mabwana wanafanya biashara gan wanatoa faidia kubwa hiviiJamani hebu tuache upuuzi hata kidogo, kama kuna vijana msiofika kesho basi kaeni kwa kutulia.
Kuna huyo mmoja hapo juu analazimisha tujiunge WHY?
Eleza nia na makusudi ya hiyo sijui kampuni yenu, yaani wanataka watanzania wajiunge kwa elfu20 ila napataje faida na inakuwaje pasi kusahau kunishadihisha utendaji wa kampuni yenu mpaka mnapata faida mnayotugawia.
Deci, kina global na nduguze woote walikuja kwa njia tofauti na nyie ila mwisho wake huwa ni mantanange!.
Ukiona tena record kisha video tuma huku km ni kweli wengine kuangalia Tv ni nadra sanaMimi mwenyewe nilifikiri wame edit sio Itv Lakini jana naangalia ITV naona kipindi kile cha michezo segment ya habar wanawatangaza hawa mabwana na redio nyingi sana zinawatangaza
wengi wanaweza kukuelezea hata saa nzima lakini anachokuelezea usikielewe kabisaUkiona tena record kisha video tuma huku km ni kweli wengine kuangalia Tv ni nadra sana
Mimi hawa Jamaa niliposhtuka kuna mmoja nilimfuata PM nikamdadisi inakuaje mara kuangalia angalia kuna mwingine akapost kwamba kaweka 20,000/- ndani ya siku 19 kavuna 100,000/- nikashtuka akasema tena ukifika mwisho wa mwezi anavuna tena 100,000/- na hapo Account yake kapost inasoma 184,738/- macho yakanitoka
Jamaa PM akajibu akanipa na mkeka kwamba kwa mwezi siku 31 ukiweka 20,000/- unavuna 68,740/- hio ndio pesa kila siku unapewa 800
Nikamuuliza mboni kuna Jamaa siku 19 tu kasema amepata 100,000/-na Account yake bado imenona inakuaje?
Weee Jamaa akaanza kunizungusha zungusha mara hivi mara vile kimepanda kimeshuka nikajua tu Biashara yoyote ambayo haina uwazi mtu anaficha ficha (mwizi) jua wewe ndio unafanywa chambo unaenda kupigwa mwingiiii
Umeelewa hapo kipi ni kipi?
Hahahaha wana zinguaaUkiona tena record kisha video tuma huku km ni kweli wengine kuangalia Tv ni nadra sana
Mimi hawa Jamaa niliposhtuka kuna mmoja nilimfuata PM nikamdadisi inakuaje mara kuangalia angalia kuna mwingine akapost kwamba kaweka 20,000/- ndani ya siku 19 kavuna 100,000/- nikashtuka akasema tena ukifika mwisho wa mwezi anavuna tena 100,000/- na hapo Account yake kapost inasoma 184,738/- macho yakanitoka
Jamaa PM akajibu akanipa na mkeka kwamba kwa mwezi siku 31 ukiweka 20,000/- unavuna 68,740/- hio ndio pesa kila siku unapewa 800
Nikamuuliza mboni kuna Jamaa siku 19 tu kasema amepata 100,000/-na Account yake bado imenona inakuaje?
Weee Jamaa akaanza kunizungusha zungusha mara hivi mara vile kimepanda kimeshuka nikajua tu Biashara yoyote ambayo haina uwazi mtu anaficha ficha (mwizi) jua wewe ndio unafanywa chambo unaenda kupigwa mwingiiii
Umeelewa hapo kipi ni kipi?
Ipi na ipi?una IDs ngapi ?
Inawezekana aliyepata faida zaidi aliweka zaidi ya hiyo elfu 20Ukiona tena record kisha video tuma huku km ni kweli wengine kuangalia Tv ni nadra sana