Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,569
Sasa kama ushaambiwa na almost kila mwanamke ww ni handsome si uchukue kioo tu ujiangalie utapata jibu ulilouliza.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kusifiwa eti ' una kucha nzuri' na wewe unavimba kichwa m nahisi kuna shida mahala, jichunguze & be care, be a gentleman.Habari za jioni wakuu wangu.
Leo naomba mnisadie jambo moja ili niweze kuelewa. Katika ujana wangu huu nimekua nikisumbuliwa sana na wanawake. Nimekua nikipata sifa ambazo mimi sizipendi.
Wanawake wamekuwa wakinitongoza sana lakini naishia kuwapiga kalenda kwasababu kuna msichana mmoja alisha niteka mazima. Wanawake wengi wamekuwa wakiniita handsome boy, wengine mara unajua Elly nazipenda sana timba zako (nywele zinazoota kwenye mashavu), mara unanywele nzuri, mara unakucha nzuri.
Hayo nayo sema ndugu zangu ni real story, nimekuwa nikisimamishwa na wadada na kuanza kupigwa sound, ila nimeishia kuwapiga kalenda kwasababu najiheshimu na mara nyingi sipendelei sana mambo hayo nasubiri mpaka nitakapo oa kwasababu naogopa adhabu ya Mungu. Nikiwa mzinzi tu huwa najihisi vibaya sana, naona kama napotea hivi. Hivyo pamoja na usumbufu wote wa wanawake nimeishia kuwapiga chenga.
Mwaka juzi nikwenda Uholanzi kusoma, kule nilipata kuwa na marafiki wengi kutokana na ucheshi nilio nao. Wengi walikua marafiki wa kizungu. Wazungu wa kike pia walikuwa wananiambia you so handsome boy and friendly. Sasa nataka leo kuelewa mwanamme handsome yupoje? Ni sifa zipi zinamfanya mwanamme kuwa handsome?
Neng'eneka na misifa ya Kuitwa hb hela huna tutapita na demu wako.Mwanaume kusifiwa eti ' una kucha nzuri' na wewe unavimba kichwa m nahisi kuna shida mahala, jichunguze & be care, be a gentleman.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo sio kosa langu wanajigongesha wenyeweNeng'eneka na misifa ya Kuitwa hb hela huna tutapita na demu wako.
Mkuu sio kosa langu wanajigongesha wenyewe, ulitaka mimi nifanyeje,Mwanaume kusifiwa eti ' una kucha nzuri' na wewe unavimba kichwa m nahisi kuna shida mahala, jichunguze & be care, be a gentleman.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi kumbe ndio maana wananiita handsome boy
- meno yako yawe yamepangika (usiwe na meno kama shina la muhogo)
- urefu wako usivuke mita 8
- uzito wako usipungue kg 100
- usiwe mweusi sana kama ukuta wa jikoni
- usiwe na nywele za kipilipili
- usiwe na kichogo kama senga
- yote hayo bila ya kuwa na ilani ya CCM ni kazi bure
unazani hakunaga wazungu wehu?Mmmmmm, sio kweli, ndio mpaka kunitongoza mkuu,, eti elly do you have a girl friend?? I would like to be your friend,
Nakubaliana na wewe kiongozi....Kama mpaka huko Uholanzi wamekusifia wewe handsome basi ujue uko kama kituko..
Mfano wa kinyago cha kuchekesha watu
Walichofanya hao wazungu ni kuwa polite
Wasionekane wabaguzi..hawakutaka kukwambia ukweli wanavyokuona ungejisikia vibaya