Nataka kujua sifa zinazo mfanya mwanaume aonekane handsome

Nataka kujua sifa zinazo mfanya mwanaume aonekane handsome

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
707
Reaction score
751
Habari za jioni wakuu wangu.

Leo naomba mnisadie jambo moja ili niweze kuelewa. Katika ujana wangu huu nimekua nikisumbuliwa sana na wanawake. Nimekua nikipata sifa ambazo mimi sizipendi.

Wanawake wamekuwa wakinitongoza sana lakini naishia kuwapiga kalenda kwasababu kuna msichana mmoja alisha niteka mazima. Wanawake wengi wamekuwa wakiniita handsome boy, wengine mara unajua Elly nazipenda sana timba zako (nywele zinazoota kwenye mashavu), mara unanywele nzuri, mara unakucha nzuri.

Hayo nayo sema ndugu zangu ni real story, nimekuwa nikisimamishwa na wadada na kuanza kupigwa sound, ila nimeishia kuwapiga kalenda kwasababu najiheshimu na mara nyingi sipendelei sana mambo hayo nasubiri mpaka nitakapo oa kwasababu naogopa adhabu ya Mungu. Nikiwa mzinzi tu huwa najihisi vibaya sana, naona kama napotea hivi. Hivyo pamoja na usumbufu wote wa wanawake nimeishia kuwapiga chenga.

Mwaka juzi nikwenda Uholanzi kusoma, kule nilipata kuwa na marafiki wengi kutokana na ucheshi nilio nao. Wengi walikua marafiki wa kizungu. Wazungu wa kike pia walikuwa wananiambia you so handsome boy and friendly. Sasa nataka leo kuelewa mwanamme handsome yupoje? Ni sifa zipi zinamfanya mwanamme kuwa handsome?
 
Kama mpaka huko Uholanzi wamekusifia wewe handsome basi ujue uko kama kituko..
Mfano wa kinyago cha kuchekesha watu
Walichofanya hao wazungu ni kuwa polite
Wasionekane wabaguzi..hawakutaka kukwambia ukweli wanavyokuona ungejisikia vibaya
 
Wanawake hawatabiriki..huyu atakuona handsome kisa macho yako au mwili. Meingine atakuona wa kawaida kwakua hapendi watu wenye mwili au macho kama yako..

Kamwe sitapiga gym kutafuta six pack ili nipendwe..wengine wakiangalia nywele tu wanapagawa. Cha msingi ni kubaki vile ulivyoumbwa, Usifosi kukubalika au kupendwa. Let things flow naturally
 
Aaaaaaaaaaah, okay
 
Kama mpaka huko Uholanzi wamekusifia wewe handsome basi ujue uko kama kituko..
Mfano wa kinyago cha kuchekesha watu
Walichofanya hao wazungu ni kuwa polite
Wasionekane wabaguzi..hawakutaka kukwambia ukweli wanavyokuona ungejisikia vibaya
Mmmmmm, sio kweli, ndio mpaka kunitongoza mkuu,, eti elly do you have a girl friend?? I would like to be your friend,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom