Nataka kujua kulikoni asee🤔

Yaani kijana wa 2002 sio mtoto kama wengi wanavyo fikiri Leo hii Binti wa 2005 anawatoto watatu wengine mpaka wanne uyo ni mkubwa wapewe heshima
Ni kweli Mkuu, ila binti wa 2005 watoto watatu siyo kweli labda kama ndoa za utotoni hapo sawa
 
aje nayeye tusikilize pande zote mbili
Swala lake ni ilo tu eti Mimi nikipanda kifuani sishuki mara oooh eti nafanya kama nipo kwenye mashindano ah aende zake uko 😙
 
aje nayeye tusikilize pande zote mbili
Swala lake ni ilo tu eti Mimi nikipanda kifuani sishuki mara oooh eti nafanya kama nipo kwenye mashindano ah aende zake uko
 
Mkuu wa 2005 unajuwa anaumri Gani now!
😅😅 kwamba? Elewa mtu alozaliwa 2005 hawezi kuwa na watoto watatu au wanne labda kama anakaa mwaka mmoja mtoto, then next year anajifungua tena hapo sawa nitakubaliana na wewe
 
sasa mimi nitakaa wiki nijue kama na uwezo wa kubebesha mimba unao kisha nitaitoa
Njoo dm tafadhari mjadala huu kama kweli upo siriasi sio Tena wa kujadili hapa Bali ni wetu binafsi
 
Vema.Tumia neno "Kwakweli" kufunga mjadala huu wa ufanyaji "jimai"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…