Nataka kujua kuhusu PSPTB juu ya professional stage 1

mihale45

New Member
Jul 25, 2019
2
0
Jamani nina maswali matatu ningependa kujua kwa yeyote mwenye uelewa

1. Nataka kujua fees amabazo natakiwa kulipa kwa ujumla ili kufanya mitihani ya bodi ya psptb(procurement board)
2. Professional stage 1 ni equivalent na nini?? i mean ni sawa na dploma au certificate?
3. Ukimaliza professional stage 1 unapewa cheti ??na ukipewa cheti unaeza ukaombea nacho kazi??
 
Back
Top Bottom