Nataka kujua kuhusu hili wanajamvi?

Nataka kujua kuhusu hili wanajamvi?

Awe na bikra asiwe nayo!still changamoto za ndoa zitakuepo..sema wengi wanaamini bikira ni heshimaaa
 
Karne hii ukipata aliyelala na wanaume chini ya watano umepata bikra, ushukuru Mungu!!
 
Kudumu kwa ndoa kunachangiwa na mambo mengi mno .
 
Labda inawezekana maana inasemekana ni ngumu kwa mwanamke kumsahau aliyemtoa bikra kwa hiari sasa endapo ukamuoa uliyemtoa bikra lbda inaweza kusaidia lakini sina uhakika sana juu ya hili
 
Wabongo bwana, yaani watu wana-assume tu kuwa kila msichana lazima awe anashiriki ngono. eti bikra ziko form two!! Gademu wapo wasichana wakubwa tu na wana bikra, watu wote wenye mawazo mgando ya kudhani kila msichana alitolewa bikra angali akiwa darasa la 6 badilisheni mawazo hayo. Bikra zipo nyingi tu.
 
Hizo ni myths tu.

Walio-nazo na wasio-nazo, wote utamu na uchungu ule ule.
 
Back
Top Bottom