Nataka kujua kuhusu hili wanajamvi?

Nataka kujua kuhusu hili wanajamvi?

Kwa wanaume: Kuoa mwanamke bikra yaweza kua ni hoja ya msingi ktk uimara na ustawi wa ndoa husika?..
Maoni nakaribisha hata ya wanawake.
"Wengi wameolewa na machungwa ndoa zao wameshindwa kuzichunga na wangapi wameolewa na machenza mpaka sasa ndoa zao wanazitunza"
sosi: suma lee
 
Kwa wanaume: Kuoa mwanamke bikra yaweza kua ni hoja ya msingi ktk uimara na ustawi wa ndoa husika?..
Maoni nakaribisha hata ya wanawake.

Hakuna lolote, hizo ni stereotypes
 
Kwa wanaume: Kuoa mwanamke bikra yaweza kua ni hoja ya msingi ktk uimara na ustawi wa ndoa husika?..
Maoni nakaribisha hata ya wanawake.

Hii ni dhana potofu mkuu..
 
Back
Top Bottom