Nataka kujivua gamba ila.......................

Hayo ndo matokeo ya kupenda kabla ya kuchunguza tabia. Mkiambiwa kuchunguza tabia kwanza mnasema, ooh, anakata viunu sana kitandani mwanawane.
Sikinde waliimba, 'mwanetu kaza moyo uishi na mkeo, ni wewe mwenyewe uliyempenda.'
 
Pole excellent. Labda ungejaribiu kuepuka yale yanayompelekea kuchongoa mdomo sana. Kwa mfano ukirudi nyumbani straight from work mapemaa! Atachonga juu ya nini?
unaweza kuamini hata ndani ya nyumba yangu natumia headphones?
 
Hayo ndo matokeo ya kupenda kabla ya kuchunguza tabia. Mkiambiwa kuchunguza tabia kwanza mnasema hayo tutaona huko mbele kwa mbele.
Sikinde waliimba, 'mwanetu kaza moyo uishi na mkeo, ni wewe mwenyewe uliyempenda.'
mkuu hapa ni sawa natembea peku peku kwenye kaa la moto
 
tena mke bora coz kipaji chake cha kuimba taarab na mashauzi kwa mumewe umekipatia tiba mbadala..
aendelee kama mke,na aimbe taarabu kwa vile ana kipaji halafu mme wake awe excellent,lol
 
Akiimba taarab Wewe muimbie hiphop.Akiongelea puani wewe ongelea kooni(sauti ya nne). Akikutingishia masaburi mtingishie rungu kwenye masaburi yake. Kila tabia ya kike anayofanya wewe ijibu kwa kufanya ya kiume zaidi..mwenyewe atakuwa anakupigia simu urudi nyumbani haraka usome gazeti
 
hahahahahahahaha! Lol.
 
teh teh teh teh hiyo kali,najua kwa mtindo huo hata nikimwacha nikaenda kazini lazima atanimiss
 
Back
Top Bottom