Nenda bariadi....
1. Ni chimbo jipya
2. Wawekezaji wengi kutoka kahama, geita na chunya wanahamia huko kwa sasa.
3. Kuna muingiliano wa makabila yote unayoyajua so lazima utapata ndugu. (Baaadhi ya maeneo kama rush za Geita ni wasukuma tu).
Ukifika...
Usijifanye mjanja sana soma mchezo kwanza watakuua.
Uaminifu ndo mtaji kwenye biashara ya madini.
Biashara hii haina rafiki wa kudumu so kuwa makini na kampani yako.
Afya yako ni msingi wa kesho chukua tahadhari za muhimu usisahau chakula unachokula.
Tafuta ndugu wa karibu mwambie uko wapi machimbo mapya yana mauza uza yake.