Jamaa kaaga kwao wacha tumuombee, amtafute pia Wangari Maathai Ampe mawili matatuKama upo mjini is better to stay mjini tu ndgu yangu.....machimboni utaharibikiwa aseeh..
Hakuna hela kivile is all about lucky...
Hakuna kitu kirahisi hii dunia mwache kijana akatafute maisha,,,,,,,,,hata biashara it's all about luckKama upo mjini is better to stay mjini tu ndgu yangu.....machimboni utaharibikiwa aseeh..
Hakuna hela kivile is all about lucky...
Machimbo ya Mwime yapo Manispaa ya Kahama, kwa pikipiki kutoka mjini ni Tsh. 2000, kwa Bajaj ni Tsh 1000.Asante mkuu sehemu gan hasa mkuu inatoa sana. Kahama kubwa nasikia ingawa sijafika
Asante mkuu kwa taarifa nzuriMachimbo ya Mwime yapo Manispaa ya Kahama, kwa pikipiki kutoka mjini ni Tsh. 2000, kwa Bajaj ni Tsh 1000.
Pia kuna machimbo mengine wilaya ya Kahama, yapo Segese halmashauri ya Msalala.
Kuhusu machimbo yanayotoa kwa sasa ni kama yote yako level tu.
Uhusiano upo , Kama nitakushauri uanzishe kuchimba maduara msituni ndanii wakat wewe ni Ke itakuwaje?Vina mausiano gan na mada? Nieleweshe ntakutajia tu
Utateseka brother....Sijaelewa mkuu? Me naenda kuchimba kama mtafutaji sina ela yeyote ile
Nilichojifunza hapa duniani hamna kitu rahis hata hayo maji kuuza ni kazi sana. Nimeamua mwenyewe kutoka moyoni mkuu sina mtaji zaidi ya nguvu zangu.Utateseka brother....
Kwa kukushauri tafuta mtaji kidogo nunua frizer ndogo tafuta sehemu machimbo yanapolipuka (rush) kwa sasa BARIADI - SIMIYU ni sehemu sahihi japo wajanja washakimbilia huko anza biashara ya maji na vinywaji....
Nishukuru baadae. Kila la kheri