Ukiwa binti "watakunaniii naii" alafu wakichoka unashangaa mkataba unasitishwa kiaina! TANAPA ni ya kuweka mbali na mabinti!
kasome mweka huko, pasi nini sijui..diploma ya mifugo sikushauri, nenda tanapa kama askari, tatizo utakuta ulifeli fom 4 na siku hizi ata askar anatakiwa afaulu utata unaanzia hapa...,
Aisee vip ulifanikiwa kupata tanapa ?habari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........
Natumaini ulipata kazi huko Tanapa maana ni miaka mitano imetimia yangu uweke hili bandikohabari wana jf!! Mimi ni kijana wa kitanganyika..natamani kufanya kazi TANAPA niwe daktari wa wanyama..kwa sasa nina certificate ya general agriculture ila nataka nikasomee diploma ya mifugo...je! nikiwa na diploma ya mifugo naweza kujiunga na TANAPA??? au hadi niwe na elimu gani?? naombeni mnishauri tafadhali..........
Bwan mdogo hongera sana kwa wazo lako, najua wengi mnapenda kujiunga na jeshi la porini kwa vile kuna mihela (as you think) usijidanganye, kushi porini kama ngiri wala sio ishu. From my experience utapewa hiyo m2 kwa mwezi na ukaishia kupiga pombe na wanawake tu, mazingira yanabadili sana watu. Fanya fani nyingine tu, ila kama unajiona una wito ingia hapa www.mnrt.go.tz/pasiansi kuna chuo unaweza anza kama ranger then uingie tanapa kama askari. Kwa udaktari sahau, watu wa BVM SUA wako kibao mtaani huwezi compete nao na vyeti vya kuunga unga