A Ayatollah the Bird JF-Expert Member Joined Jul 30, 2026 Posts 367 Reaction score 778 Yesterday at 7:53 PM #1 Kuna conection nasubiria humu kampala ya kwenda jesh russia. kwa mwenz malipo ni UGX9,500,000 maisha ya kuwa polis yamenichosha mshahara mdogo wakuu
Kuna conection nasubiria humu kampala ya kwenda jesh russia. kwa mwenz malipo ni UGX9,500,000 maisha ya kuwa polis yamenichosha mshahara mdogo wakuu
A Ayatollah the Bird JF-Expert Member Joined Jul 30, 2026 Posts 367 Reaction score 778 Yesterday at 7:56 PM Thread starter #2 Mshahara huk napata UGX875,000
A Ayatollah the Bird JF-Expert Member Joined Jul 30, 2026 Posts 367 Reaction score 778 Yesterday at 7:57 PM Thread starter #3 Yakitik nasepa Russia
Kayoka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 2,410 Reaction score 2,286 Yesterday at 7:59 PM #4 Sawa, kila la kheri aisee...!! Naomba unikumbuke once ukipata hiyo chance.
danceforme JF-Expert Member Joined Aug 3, 2026 Posts 626 Reaction score 1,472 Yesterday at 8:00 PM #5 Ukifanikiwa usisahau ku put in
itscowboy98 JF-Expert Member Joined Dec 9, 2025 Posts 899 Reaction score 1,446 Yesterday at 8:01 PM #6 Ayatollah the Bird said: Kuna conection nasubiria humu kampala ya kwenda jesh russia. kwa mwenz malipo ni UGX9,500,000 maisha ya kuwa polis yamenichosha mshahara mdogo wakuu Click to expand... Fursa hizo tushtuane
Ayatollah the Bird said: Kuna conection nasubiria humu kampala ya kwenda jesh russia. kwa mwenz malipo ni UGX9,500,000 maisha ya kuwa polis yamenichosha mshahara mdogo wakuu Click to expand... Fursa hizo tushtuane
K kiumbempole JF-Expert Member Joined Jan 15, 2016 Posts 703 Reaction score 1,201 Yesterday at 8:06 PM #7 Utawekwa mstari wa mbele kijana. Kifo nje nje
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 5,220 Reaction score 13,413 Yesterday at 8:07 PM #8 Deal
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,706 Reaction score 9,494 Yesterday at 9:03 PM #9 Nenda maana unapenda kifo kuliko uhai
1 to 10 Senior Member Joined Apr 24, 2020 Posts 165 Reaction score 233 Today at 10:16 AM #10 Kama unataka Mali na maisha bora si umuue baba yako tu upate Mali kuliko kwenda staring wa mbele kabla ya kuipata hiyo hilarious ya mshaharanwa kwanza wawe wamekuuwa na matamAyako ya hela
Kama unataka Mali na maisha bora si umuue baba yako tu upate Mali kuliko kwenda staring wa mbele kabla ya kuipata hiyo hilarious ya mshaharanwa kwanza wawe wamekuuwa na matamAyako ya hela