Nataka kujiunga freemason

chondechonde ndugu yangu naomba unifute katika hiyo list sitaki na wala simo huko acha kuniingiza kiaina aina huko ushindwe na ulegeee na kuangukia baharini
 

Ndo maana mwaJ anampango wa kukusaliti.
Aione Mamndenyi kwa mipasho.
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji tena usinitaje kabisa kwenye hii kitu
mimi nilikaribia kabisa kuingia,
daaaah, sitaki kabisa
endelea ila mimi sipo nimesema.
Daah! Best ilikuwaje mpaka ukaribie kujiunga? Huo utajiri wa masharti na waupate tu wanao utaka, ni heri na kidogo nipatacho maana sina wakumtoa kafara maana ninawapenda wote.
 
saudari, hivi hauyajui ya mwaJ na Bujibuji,
mimi nilipewa onyo na mwaJ kuwa hataki kabisa kulisikia hilo jina
hapa Bujibuji anaomba nimbembelezee kwa mwaJ, lakini hiyo iko nje ya uwezo wangu,
na yote ya kuanzisha huu uzi anajifagilia ili mwaJ amrudie, lakini nasikia kuwa naniii yake hapandi mtungi,
(ni siri lakini).

Ndo maana mwaJ anampango wa kukusaliti.
Aione Mamndenyi kwa mipasho.
 
Last edited by a moderator:

hii stori nimesha isikia radio 5 arusha naona umeona uilete huku jf dah kweli sanaa na wasanii.
 

Kumbe ndo maana mwaJ anakujakuja home?

Ila siku hizi na mimi nimekua mvumilivu, zamani ungekuta tayari.
 
Last edited by a moderator:
mtu atakaeweza kunisaidia kujiunga na freemason coz nimesikia wawaliopo huko wamefanikiwa msaada plz

alokwambia freemasons wanachukua maskini ni nani wanachukuwa watu ambao tayari wanamafanikio na hela ya kuingia huko si ya kitoto, na wakikutaka uingie utaingia tu ukikataa masharti yao wanafunga dili zako zote unaishia maskini.hata hao wakina kanumba mnawasingizia tu bado hawakuwa na hela ya kujiunga freemason pamoja na kuwa matajiri tz. Hawa ni wa jewish bana vichwa vinavyo run dunia esp USA.
so jipange kwanza
 
shansarie umenionea wapi Lady doctor?
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji nikitoa wewe nani atakayekuwa ananichekesha sasa? Kama ningeendelea kuwepo jukwaa la siasa najua ningewapata wakuwatoa, tena kwa roho nyeupeeeeee! Bahati yao nimehama huo mtaa maana sitaki stress.
 
Last edited by a moderator:
Dunia na vyote vilivyomo ni mali zangu....haya ni Maneno ya Mungu.
Mtegemee yeye utapata mali na kuwa na furaha maishani.
Kwanini utafute mali kwa shetani ambapo utapewa na masharti?
Angalia Ayubu,Sulemani walimtegemea Mungu wakapata mali nyingi.
 
Freemason member tumetoa miasaada mingi hapa kwetu tanzania kama ,montessor school(jijini mwanza) mnazi mmoja hospital (iliyopo zanzibar) missionaries of charity, shule ya walemavu(buguruni jijini dar es salaam,) ni katika miradi ya free mason tanzania. pia tumejenga madarasa ya shule ya msingi kinondoni (dar es salaam) na kutoa pauni za uingereza 15,000 mnamo mwaka 1996 katika ajari ya mv bukoba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…