wadau kuna plan nafikilia kuja kufundisha masomo ya computer hasa kwa vijana wetu wa shule za msingi,nitaanza mwakani nikiwa hai,nitafundisha bure bila ya malipo,na vilevile nina mpango wa kuzitengenezea baadhi ya shule za msingi websites ambazo maelezo muhimu kuhusu shule husika yatakuwepo hii ni kuendana na teknolojia ya karne ya ishirini na moja
nawaomba wale watanzania wenzangu ambao mpo fiti kwenye suala zima la computer,mnishauri je huu mpango mzuri au wadau mnanishauri nn kuhusu ili suala?
nakaribisha maoni yenu wakuu
kiufupi ni kwamba nina laptop zangu mbili,nitanunua projector moja,na nitafundisha hizi shule za kata maana ndio tulipotokea huko nazijua shida zao,na kuhusu masomo nitawafundisha basic computer programs,kwa mfano vijana wajue windows aina zote,simple software kwa mfano microsoft office,photoshop ikiwezekana itategemea na uelewa wao wa masuala haya ya computer,ila tatizo lipo kwenye umeme sijui kama hizi shule madarasani kuna sockets za umeme au umeme wenyewe kama vikiwepo basi itakuwa kheri sana.naomba ushauri zaidi wakuu
Kwa Mawazo yangu mimi nionavyo itabidi apate Wafadhili kwani huo mpango anaokusudia ni wa bure lakini una gharama sana sasa atakuwa akifundisha shule moja? au atakuwa akienda kila shule Kufundisha?Na tena mji gani aliokusudia kufundisha? hayo ndio maswali yangu ninauliza.......Basically mpango ni mzuri, ila ungetoa details tungekushauri zaidi. Utaufanikisha vipi huo mpango? Machine, sehemu ya kufundishai utatoa wapi? Utaugharamia vipi huu mpango?
Kwa Mawazo yangu mimi nionavyo itabidi apate Wafadhili kwani huo mpango anaokusudia ni wa bure lakini una gharama sana sasa atakuwa akifundisha shule moja? au atakuwa akienda kila shule Kufundisha?Na tena mji gani aliokusudia kufundisha? hayo ndio maswali yangu ninauliza.......
Kwa experince ndogo japo sikufanikiwa anza na walimu kwanza wa primry kwanza. Nadhani ukiwalenga walimu complication zitapungua. then utahami kwa waafunzi may be wa class six and seven. carriculum inayofaa usichague wewe. tafuta carricum wanazofundishwa age group husika kwa shule za majuu.
Maana caricullum mtu amabye hajui computer aliyamaliza form four ni tofauti na mtu amabye hajui computer ambaye hajamaliza la saba. Na carriculm y mwalimu wa shule ambaye hajawai kugusa komyuta nayo ni tofauti na hao wawili niliowataja mwanzo.
Hili suala jana usiku nilipita mezani nikakutana kajomba kangu anasoma darasa la sita mara nakagua vitabu vyake nakutana na kitabu kimeandikwa TEHAMA nikamuuliza nini hii akasema anko computer.Baada ya kufunua ndani nikakutana programu andishi sasa hapo kuanzia word,excel na masuala ya printa yamechambuliwa hapo ila lugha imebadilishwa kiswahili ya kuna maneno mageni sana kama chatazi,pau n.k kwa hiyo mdau nakushauri tafuta kwanza mitaala hii kwanza then kamua ndo uende huko la sivyo utabaki kusema highlight word badala ya kuumbiza neno {lol!!}.
kuna Mzee mmoja wa Arusha namfahamu nae ana wazo zuri kama lako mkuu, endeleeni na moyo huo huo mtazidishiwa na Mola...wadau kuna plan nafikilia kuja kufundisha masomo ya computer hasa kwa vijana wetu wa shule za msingi,nitaanza mwakani nikiwa hai,nitafundisha bure bila ya malipo,na vilevile nina mpango wa kuzitengenezea baadhi ya shule za msingi websites ambazo maelezo muhimu kuhusu shule husika yatakuwepo hii ni kuendana na teknolojia ya karne ya ishirini na moja
nawaomba wale watanzania wenzangu ambao mpo fiti kwenye suala zima la computer,mnishauri je huu mpango mzuri au wadau mnanishauri nn kuhusu ili suala?
nakaribisha maoni yenu wakuu