Kwa sababu anajua namna ya kuomba misaada nje,Swali. Kwa nini vyombo vya habari humu nchini vimeshupalia kumuita JK Dr??? Au na yeye aonekane msomi kama Dr. Slaa na Lipumba. Samahani nimeenda nje kidogo ya mada.
ondoka haraka sana fisadi wewe, tena usiage!wana jf wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa chadema tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa chadema hasa dr slaa na mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu mabere marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la ccm tena aliivuruga nccr-mageuzi, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache mbowe na dr slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember tanzania is first before chadema, cuf&ccm
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Kwani wewe huwezi kumpa...Jamaa kaomba ushauri kwanini mnagoma kumpatia ushauri !
Kaka Nawapasulia mimi nakushauri ondoka tu huko usijari utapokelewa maana wanajua nyote ninyi mlihama kwa "hasira". Ila nikukumbushe tu ondoka bila kupindisha ukweli huko utokapoa, Marando sio aliyevuruga NCCR kama umeshau pandikizi la chama kule alikuwa ni A.L Mrema na alifanya kazi yake vizuri tu, ndio maana safari hii amepelekwa Vunjo akajaribu tena! Unasema unaondoka kwa Sababu Slaa anaishi na Josephine na wewe unaita huo kuwa ni udhalilishaji, aaa basi nikuambie tu kama huo we unaona ni udhalilishaji basi huujui udhalilishaji, na kwa kuwa umeonesha nia ya kuondoka huko basi karibu CCM huku tutakuonesha nini hasa maana ya udhalilishaji, labda nikupe kipande tu! Huku kwetu katibu mkuu alibaka mwanafunzi wakati akiwa mwalimu lakini sisi hatujali, mweyekiti wetu anahonga ajira za BOT na ukuu wa wilaya kwa vimada wake sisi kwetu ni poa tu, mjumbe wetu wa kamati ya maadili (wenyewe mnamuita mzee wa vijisenti) anakula shemeji yake lakini kwetu huu sio udhalilishaji! halafu we unasema Slaa kuishi na mwanamke aliyeachika kwa mumewe ni udhalilishaji! si unamjua yule mwenyekiti wa jumuiya ya wabeijing wa chama chetu, si unakumbuka alizaa na mume wa mtu, yule mzee KK
Umesema eti jamaa wakishinda unahofu ya ukabila, usogope hilo mbona ni dogo na haliwezekani, ila njoo huku kwetu CCM maana tumekwisha amua kuwa tukishinda tu Ikulu ni mali ya familia ya mwenyekiti wetu, maana hadi sasa tumekwisha kabidhi chama kwa familia yake bado serikali tu!
Njoo haraka na wala usiwaombe hao ushauri, si unajua wengi wengine walikuwa huko na waliwahi kusema kuwa wakirudi huku labda walale na mama zao!lakini leo tunao na waliondoka bila kuomba ushauri, maana wangekumbushwa kulala na mama zao, hivyo nakushauri rudi tu usiombe ushauri. Namaliza kwa kukukaribisha, KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
Hahuna chama cha upinzani tanzania, wote hao ni CCM. Nyie raia jijengeeni chuki kununiana wenyewe kwa wenyewe wenzenu wanasiasa wanakaa meza meza moja. Kama kweli kuna upinzani kwa nini vyama pinzani vyote visiungane na kutengeneza chama kimoja chenye nguvu na kuing'o CCM madarakani???? Watu wako kibiashara zaidi na wakti huu biashara imeshikwa na CCM. Muda wa chama kingine utafika na bado hali zetu raia zitakuwa zile zile
Chadema chadema chadema your no longer good
you have been stolen
mbowe$dr slaa are thief
they are outsoursing their rubbish to you
shame on them for they don't want to change
am going my dear chadema though i love you
bye bye bye bye dear chadema
Chadema chadema chadema your no longer good
you have been stolen
mbowe$dr slaa are thief
they are outsoursing their rubbish to you
shame on them for they don't want to change
am going my dear chadema though i love you
bye bye bye bye dear chadema
Mbona una-sound kama m-CCM, tena kibaraka wa mafisadi unayemwogopa sana Dr Slaa? Huo ni wimbo wa CCM uliotungwa na mafisadi kwa hofu ya PEOPLE'S POWER. Jaribu mbinu nyingine.