jamani mei leo nimeamua kuwa MOD wa kujitegemea, na kufuatia hilo na kutokana na sababu zilizo ndani ya maamuzi na uwezo wangu, sitakuwa hewani kwa wiki kadhaa, kuanzia leo saa kumi jioni..... nitawamiss sana.... hi to Kongosho, Mwali, Mtei One I hope nitakukuta umepunguza machungu maana Smile kanikimbia pia, BAGAH all ze best, Erickb52, tutawasiliana Saint Ivuga, Preta, Mtalingolo, AshaDii, Asprin, Cantalisia, Rejao na wengine woooooooooooote nitawakumbuka!!
Afadhali umeamua kuondoka. wewe ndie unachochea kule!
By the time unarudi mambo yangu yatakua yamenyo'oka.
Anyway, all the best, I'll miss you. Take care 🙂
Afadhali umeamua kuondoka. wewe ndie unachochea kule!
By the time unarudi mambo yangu yatakua yamenyo'oka.
Anyway, all the best, I'll miss you. Take care 🙂
Dogo unasema tu ila najua tutakuona humu kabla ya saa sita usiku unacheza na JF wewe?
Lol
BTW: Smiling Saint kama ukiweza kupotea hata kwa siku 3 bila kuonekana na mimi ntafuata mfano wako na nitapotea kwa siku 90
Otherwise ntakumiss sana ila najua ntakuona paleee kwenye samaki wa kuchoma......
Mi sina shida sana ila ikifika saa kumi kamili naomba uniachoe ndovu moja ya baridiiiiiiiiiii ya kuniagia