Nakushauri kwanza tafuta mwalimu wa kiswahili sanifu, mwalimu wa isimu ukimaliza hapo mtafute mwalimu wa English structure usiende kwenye syntax wala stylistics sababu kuandika kwako unaonekana kama language proficiencyyako ni ya darasa la nne.
Let them talk najua changamoto kama izi ntakutana nazo sana [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu, ukitaka kumshauri mtu ambae haelewi, huanzi na kumshusha kama ulivyomwambia kwani tayari umefahamu ana kasoro kwenye grammar hivyo wewe mwonyeshe njia tu hiyo inatosha sana.
Au atafute demu wa kizunguNenda kwa Ras Simba.
Yupo pale magomeni mapipa.
Usitusumbue huku.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Me is the teacher of the English,me is to teach him you goog English,him you call me or give me a message
Me is the teacher of the English,me is to teach him you goog English,him you call me or give me a message
Hata Kiswahili huwezi kabisa maana umeandika Kizaramo kitupu,jifunze pia Kiswahili.Ni vyema pia ukasema umeishia darasa gani.Za mchana wadau.
Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea
So iwant to Learn more
Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ?
Nikisubili mwakani kuanza chuo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa bhana umeamua kwa namna iyoMe is the teacher of the English,me is to teach him you goog English,him you call me or give me a message
Mtafute ras simbaZa mchana wadau.
Jaman me English yang sio nzuri Asa kwenye kuongea
So iwant to Learn more
Wapi nitapata British councell nzuri? na huo unajifunza kwa mda gani ?
Nikisubili mwakani kuanza chuo