Nataka kujiendeleza Masomo ya Utalii

Nataka kujiendeleza Masomo ya Utalii

mjasiliamali makini

Senior Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
105
Reaction score
134
Wakuu,wasalaam nawasilimu wote kwa pamoja,walimu,wajuzi na wanafunzi wenzangu,
Jamani mimi nilisoma secondary na kuitimu 2010,niliferi kuingia kidato cha tano kwa kupata division four na nikajiunga na chuo private cha UTALII na kupata certificate lakini nataka sasa kujiendeleza na natamani kufanya vizuri zaidi,Je nikomae na masomo Yapi ambayo niyawekee kipaumbele?,.
Mimi niko Dar es salaam kwa sasa na natamani kuanza mwaka kesho masomo.
Naomba kuwasilisha uzi wangu.
 
Ni hatari sana kumuuliza mtu usomee masomo au kada gani, ni vema kama ukajua unataka kuwa nani maishani, kisha masomo yawe kama njia kukupeleka utakapo kupitia rubaa ya taaluma.
 
Ni hatari sana kumuuliza mtu usomee masomo au kada gani, ni vema kama ukajua unataka kuwa nani maishani, kisha masomo yawe kama njia kukupeleka utakapo kupitia rubaa ya taaluma.
Mkuu,nataka kuendeleza hiyo fani yangu ambayo nina certificate yake(yaani TOURISM)
ahsante mkuu.
 
Back
Top Bottom