Nataka kujenga

Njugu mawe

Member
Sep 8, 2023
33
33
Wakuu, mimi ndoto yangu nije niishi kwenye nyumba ya ghorofa hata ikiwa ghorofa mayai, ni sawa tu,

Sasa nauliza kwa wataalumu hapa wa Jamii forum, nikiwa na Million 5 siwezi kujenga ghrofa?

Sio lazima niimalize ukarabati, lakini niwe na uwezo wa kuifikisha hatua ya kuhamia hata vyumba viwili?

Naombeni wataalamu mnieleze hili🤔
 
Ghorofa mayai inakuaje?
 
Mkuu milion tano mbona ndogo sana mkuu
 
Unaweza kujenga ghorofa ya keki.
 
Achana na ujenzi haukufai.
Something else when you built a house, hata kama ni vyumba viwili build your love
 
Achana na gorofa, hata nyumba ya chini ya vyumba viwili kwa Milioni 5 yako huwezi kuhamia.
 
 

Attachments

  • Screenshot_2023-01-01-20-11-55-543_com.instagram.android.jpg
    249.9 KB · Views: 12
Nyambafu
 
Unaweza kujenga na kuhamia kabisa mkuu, kinachotakiwa hapa ni bajeti ya kujenga ghorofa lenye thaman ya 5ml.

INAWEZEKANA, Jenga ghorofa la ngazi mbili, tofari fyatua na uchome mwenyewe, fundi uwe mwenyewe ila weka watu wa kukusaidia.
Sehemu zote za kupiga ringbeam na rinta tumia magogo yaliyopasuliwa vizuri siyo zege wala nondo, Zile floor zinazowekwa jamvi wewe tumia magogo pia mkuu, milango iwe michache na madirisha pia na tumia mabati kutengeneza shutter zake. Ezeka kwa nyasi vizuri tafuta waezekaji maalum wa nyasi. Piga plasta ndani tu.

Choo iwe ya nje shimo refu ya kulengesha na mlango wa kiwango cha chini.

Tumia plan hii kujenga ghorofa ya milion 5, usisahau kutuletea taarifa na picha baada ya kumaliza ujenzi. {Ukihitaji ramani hiyo njoo pm tuyajenge mkuu}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…