Nataka kuja Tanzania kutafuta maisha naomba ushauri wenu

Habari za muda huu wanajamii forum wote.. poleni na mihangaiko ya maisha...naomba niende kwenye mada moja kwa moja:

Mimi ni mtanzania ambaye nimekulia kenya.. Niliondoka Tanzania kipindi nipo mdogo kabisa na kukulia Kenya maeneo ya kilifi kwani huku ndo nimepata elimu yangu yote huku hadi dakika hii naandika hapa nipo maeneo ya huku.

Sasa nimeona sio mbaya kwasasa kubadilisha mazingira ya kuishi hasa kwa ajili ya kutafuta opportunities sehemu nyingine mbali na nilipopazoea mawazo yangu yote kwasasa ni kurudi Tanzania nchi yangu nilipozaliwa kuja kuangalia opportunities na kuliendesha gurudumu la maisha.

Sasa ndugu zangu nilikuwa naomba ushauri kuhusu maisha ya huko hasa hasa opportunities za huko? usalama wa maisha huko? Urahisi na uhakika kwenye suala zima la transportation? hali ya hewa kwa ujumla ? pamoja na baadhi ya mambo na changamoto zake:
Karibuni sana ndugu zangu napokea ushaurti wa aina yeyote.
Karibu nyumbani.
Tafuta mke wa kikenya urudi naye au hakikisha umeacha mtoto Kenya
 
Ukweli utwbwki ukweli tu kubishana hakutofuta ukweli. Hata vijana wa kitanzania waliopata elimu yao kenya wakosoactive sana kuliko wahitimu wengi wa hapa hapa. Ukiamua kubisha kutukana hata haibadili ukweli
Labda ukoo wenu ndo hamjaelimika
 
Habari za muda huu wanajamii forum wote.. poleni na mihangaiko ya maisha...naomba niende kwenye mada moja kwa moja:

Mimi ni mtanzania ambaye nimekulia kenya.. Niliondoka Tanzania kipindi nipo mdogo kabisa na kukulia Kenya maeneo ya kilifi kwani huku ndo nimepata elimu yangu yote huku hadi dakika hii naandika hapa nipo maeneo ya huku.

Sasa nimeona sio mbaya kwasasa kubadilisha mazingira ya kuishi hasa kwa ajili ya kutafuta opportunities sehemu nyingine mbali na nilipopazoea mawazo yangu yote kwasasa ni kurudi Tanzania nchi yangu nilipozaliwa kuja kuangalia opportunities na kuliendesha gurudumu la maisha.

Sasa ndugu zangu nilikuwa naomba ushauri kuhusu maisha ya huko hasa hasa opportunities za huko? usalama wa maisha huko? Urahisi na uhakika kwenye suala zima la transportation? hali ya hewa kwa ujumla ? pamoja na baadhi ya mambo na changamoto zake:
Karibuni sana ndugu zangu napokea ushauri wa aina yeyote.
1594580649671.png
 
umeambiwa na nani maisha yamepotea Tanzania hadi uje kuyatafuta? ukijibu hapa tunaweza kuendelea
 
Back
Top Bottom