Mm ni kat ya wanafunz[equivalent] waliopata chuo nikakosa mkopo; kilichoniuma zaidi ni kwa nn bodi icnge2ambia kabla ya kufanya aplication kuwa eqvnt hatutapata mkopo? matokeo yake wanasbr 2shapoteza gharama wanatuambia je huu c utapeli? naomba wadau wenyeuchungu na watoto wa maskn mtuunge mkono ili tupte mwnasheria mzalendo ili tupate haki ze2. waliokosa mikopo wote mniPM ili niwaeleze hatua zinazoendelea.