Masaki ya Chanika kwa Ngwale au Chanika MasantulaHope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Masaki TuangomaHope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Masaki hipi unaiongerea? Ya mtwara au?Hope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Jf ina kila aina ya watu.humu,ebu chunguza utakuja nishukuru siku moja!!Wanaoishi masaki, wwnye madeal huwa sio watu wa kuanzisha uzi jf
Sikiliza wimbo wa "MBOGA SABA" by Mr.Blue utapata mbinu mle.,..kama itashindikana njoo inboxHope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Sio masaki tu jf ina watu wanaoishi mataifa mbalimbali tena yaliyoendelea.Wanaoishi masaki, wwnye madeal huwa sio watu wa kuanzisha uzi jf
Kama wapiMasaki Chole road au? 😀Kila kitu kinawezekana ila kama unahitaji makazi kuna maeneo tulivu na ya kisasa zaidi
Mungu akutangulie kwenye kutimiza ndoto zako Mkuu. Ukipenda kuishi Masaki au Osterbay jipange. Viwanja vinapatikana kwa kuwavua watu andaa 1- 3 Billion. Nyingi ya Nyumba zamani zilikuwa za Serikali lkn ziliuzwa kwa Watumishi enzi hizo wengi wao kwa sasa wanastaafu au wamestaafu hivyo wanavuliwa sana. Wengi pia walishauza, ingawa wakati serikali inawauzia kuna kipengele kwenye Mkataba kilizuia kuuza nyumba hizo.Hope wazima wakulungwa
Natamani kuishi masaki, masaki pananivutia sana lifestyle yake haina kufatiliana haina umbea yani kila mtu anaishi kivyake natamani siku moja nije kumiliki ardhi masaki, sisi watu wa madeals masaki panatufaa sana kuishi maana hatutakagi kumchomongo
Watoto wa #masakilife waje humu [emoji16]
Mwambie huyo mkuu,hajui huyo kua JF ina kila aina ya watu kutoka nchi mbalimbali.Sio masaki tu jf ina watu wanaoishi mataifa mbalimbali tena yaliyoendelea.
Kuna miaka fulani watu walikariri makazi fulani ni watu fulani tu , sasaivi mpka bodaboda wanajipata mkuu.Mwambie huyo mkuu,hajui huyo kua JF ina kila aina ya watu kutoka nchi mbalimbali.
Bodaboda zipo kama kawaida. Mnapa-overrate sanaMungu akutangulie kwenye kutimiza ndoto zako Mkuu. Ukipenda kuishi Masaki au Osterbay jipange. Viwanja vinapatikana kwa kuwavua watu andaa 1- 3 Billion. Nyingi ya Nyumba zamani zilikuwa za Serikali lkn ziliuzwa kwa Watumishi enzi hizo wengi wao kwa sasa wanastaafu au wamestaafu hivyo wanavuliwa sana. Wengi pia walishauza, ingawa wakati serikali inawauzia kuna kipengele kwenye Mkataba kilizuia kuuza nyumba hizo.
Kuhusu Nyumba za kupanga Masaki zipoo kuanzia BnB, Bungalow, Apartment nk nk ispokuwa kodi jipange kuanzia 2.5-10M kwa mwezi.
Kuishi masaki kwa sie waswahili ni mateso si kitoto, hakuna genge la nyanya, hakuna kibanda cha Mangi, hakuna kituo cha boda boda, hakuna ruti ya dala dala nk nk nk
[emoji23][emoji23][emoji23]Wanaoishi masaki, wwnye madeal huwa sio watu wa kuanzisha uzi jf