Mkuu mpaji simshauri aanze na fremu ya bei hii.Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Mkuu 10m.Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
ni kweli akiwa na mzigo mzuri na connection ya wateja sio mwenzetu miezi kadhaa tuu cha msingi connection hio hujengwa kwa uaminifu wako kwa wateja na mjiuze mzigo mzuri unaokimbia ili akimbize arudi kwako mapema nae atawaambia wenzake watajileta ukifanya hivyo kwa wateja watano kila mteja atakuletea mteja.Kama inalipa biashara kwa eneo hilo basi faida ni 5m km kodi tu ni 900k
Npo bize kidogo hapa sema ntajaribu kuandika kibishi!Mkuu mpaji simshauri aanze na fremu ya bei hii.
Zipo fremu za 600k kwa kuwa bado anaanza aanzie hapo, ili azoee kwanza na kuona biashara inaendaje
Karibu, ila kwa mtaji wako bado mdogoHeri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
Hata mitaa ya amani na kibambawe majengo yapo yanajengwa japo sidhani kama atawahiInapatikana kaka sema nyingi zina-range 800k mpaka 1.5M, kama huna haraka unalipia wakati ujenzi unaendelea mfano pale msimbazi B karibu na office za star times kuna ujenzi unaendelea unaongea na wahusika unatia pesa kabla hapajaanza kugombaniwa au pale karibu na sandaland Kuna ujenzi umeanza unalipia mapema hii wanafanya wale ambao hawana haraka na hawataki frame za ndani
Kama unaijua kituo Cha POLICE msimbazi, au kituo Cha mwendokasi msimbazi B Kuna njia unaifuata hatua 15-20 unafikia jengo husikaTaarifa nzuri hii mkuu, shukrani.
Japo ramani ya sehemu sijapata, ila naweza kupatafuta.
Pia kuna jengo wameanza kubomoa wanajenga jipya karibu na mataa kama unaelekea gerezani huo huo upande wa sandaland ajaribu japo itachukua muda na pia kwa location hio kodi itakuwa juuKama unaijua kituo Cha POLICE msimbazi, au kituo Cha mwendokasi msimbazi B Kuna njia unaifuata hatua 15-20 unafikia jengo husika
Watu wanamwaga zege chini lakini anatokea mtu analipia floor ya 4 afanye store yake ya mizigo, ujue saiv uchumi umeachia ndo mda wa kufanya mambo chap chap hatujui 2025 ataingia nani na atakujaje?Hata mitaa ya amani na kibambawe majengo yapo yanajengwa japo sidhani kama atawahi
Nimemwelekeza kwenye reply flan hapo juuPia kuna jengo wameanza kubomoa wanajenga jipya karibu na mataa kama unaelekea gerezani huo huo upande wa sandaland ajaribu japo itachukua muda na pia kwa location hio kodi itakuwa juu
Frame kariakoo unalipa mwaka 😁sio kama hzi nyumbani zetu za kupanga tabata barracuda, ila kwenye miamala hata akitengeneza sehemu huo mtaji unatoshaMkuu mpaji simshauri aanze na fremu ya bei hii.
Zipo fremu za 600k kwa kuwa bado anaanza aanzie hapo, ili azoee kwanza na kuona
Mkuu 10m.
Kama unataka ingia fremu na process zingine kutakuwa na insufficient kwa kiasi Fulani.
Most utalipa miezi 12
Let's say unachukua fremu ya 600k_ 700k
600000×12= 7,200,000
Unabaki 2.8M
Mkuu hiyo pesa unaweza nunua mzigo kwa wachina pale pale.
Ila bado ni pesa ndogo.
Ndio kwa mwezi, na nyingi unalipia mwaka mzima900k kwa mwezi?
Ukiona Kodi hyo faida ni kubwa sana mkuu hapo jiandae tu unafunga office saa 12 lkn utatoka humo saa tatuKama inalipa biashara kwa eneo hilo basi faida ni 5m km kodi tu ni 900k
Kabisa kama hela basi kwa sasa hela ipo juzi nimepita Kigamboni nimeona nyumba nyingi zinateremshwa na maghorofa kibaoWatu wanamwaga zege chini lakini anatokea mtu analipia floor ya 4 afanye store yake ya mizigo, ujue saiv uchumi umeachia ndo mda wa kufanya mambo chap chap hatujui 2025 ataingia nani na atakujaje?
Tena saiv hamna task force, TRA hawakabii juu, risiti sio vurugu kama zamani kidogo hamna mizigo kukamatwa
Nimeiona sawaNimemwelekeza kwenye reply flan hapo juu
Shirima nikisomaga comments zako napata picha ni mtu flani speed ya kuongea inasoma 70-80/120 sijui kwanini 😂😂😂Nimemwelekeza kwenye reply flan hapo juu
Anakuja mteha mmoja tuu anafunga mzigo woote akauze mkoaniHeri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado