Nataka kuhamia mozambiqe/msumbiji ya kaskazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuhamia mozambiqe/msumbiji ya kaskazini

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Visenti, Aug 11, 2011.

 1. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Naamini kuna wanaJF walioko Mozambique katika majimbo/maeneo ya PEMBA, CABO DELGADO na NAMPULA, kuna jamaa yangu Mtanzania anataka kuhamia na kuanza maisha huko ktk sehemu nilizozitaja, kwa kupiga box au biashara yoyote, kama kuna wana JF huko au yeyote anayeyajua maeneo hayo, naomba mnipe mwongozo jinsi jamaa atakavyoweza kuhamia na ku-settle huko, mfn requirement muhimu zinazohitajika n.k, nitashukuru kwa mwongozo nitakaoupata.
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  NiPM kama umedhamiria.
   
 3. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Mkuu Mwendabure, kama unaweza kunielekeza anika tu hadharani, itawasaidia na wengine wanaohitaji hizo information.

   
 4. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #4
  Jun 4, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,451
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huyo ndugu yako alifanikiwa kuanza maisha huko Moza?
   
 5. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #5
  Jun 4, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,451
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 0
  Mkuu, na wewe bado uko Mozambique? kama ndiyo nieleze uko maeneo gani kuna kitu nataka tuongee.
   
 6. NITATOA USHUHUDA

  NITATOA USHUHUDA JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2017
  Joined: Jul 6, 2017
  Messages: 548
  Likes Received: 447
  Trophy Points: 80
  mkuu ulifanikiwa
   
 7. Kifimboplayer

  Kifimboplayer JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2017
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 1,438
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Huyo uliem-quote alishatangulia mbele ya haki

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
Loading...