Magomeni one
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,124
- 2,610
Ni wewe tu Mungu yupo popote tu.
Si kweli.utaweza kuhudhuria jumuia kila jumamosi?😅
Karibu mwanangu, hujachelewaKwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s
Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii inayokuja naanza kwenda kusali Kanisa Katoliki
Uzuri O Level nilisoma shuke ya Kikatoliki kwa hiyo taratibu zao nyingi nazijua
.
.......