Nataka kuhamia Kanisa Katoliki

Nataka kuhamia Kanisa Katoliki

Luca Paguro

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
476
Reaction score
1,060
Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s

Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii inayokuja naanza kwenda kusali Kanisa Katoliki

Uzuri O Level nilisoma shuke ya Kikatoliki kwa hiyo taratibu zao nyingi nazijua
.
.......
 
Kesho kutwa wakitokea maaskofu wenye mrengwa wa kichawa na kujipendekeza utahama pia 🤔
Hapana, kwa sababu hata Anglican sijaona machawa lakini nimeamua tu nihame
Hili suala nilianza kulifikiria zamani. Ila sasahivi nimeona nifanye maamuzi mazima ili nisijiulize tena kuhusu kuhama dhehebu
Hivi karibuni nimepata sababu za kuhamia Katoliki 100%
 
Hapana, kwa sababu hata Anglican sijaona machawa lakini nimeamua tu nihame
Hili suala nilianza kulifikiria zamani. Ila sasahivi nimeona nifanye maamuzi mazima ili nisijiulize tena kuhusu kuhama dhehebu
Anza kwenda ibadani mwao , kutana na uongozi wa kanisa , elezea dhamira yako watakupa mwongozo stahiki
 
Kwa sasa mimi ni muumini wa Kanisa la Anglican lakini hivi karibuni nimetokea kuvutiwa na Kanisa Katoliki, na nimeona ndio Kanisa linaloendana na misingi yangu. Nadhani sijachelewa maana bado ni kijana. I'm still in my 20s
Kwa hiyo huu mwaka nitajitahidi nihamie Kanisa Katoliki. Jumapili hii inayokuja naanza kwenda kusali Kanisa Katoliki

Uzuri O Level nilisoma shuke ya Kikatoliki kwa hiyo taratibu zao nyingi nazijua
.
.......

Muinglikana kwenda Katoliki, ni sawa na mtoto kurudi nyumbani. Anglikana na Katoliki tofauti ni ndogo sana, zaidi ni masuala ya kiutawala, liturujia ni ile ile moja.
Sisi wakatoliki tunasema karibu sana nyumbano ili kwa pamoja tuuishi Umoja katika Kristo Yesu, jina pekee tulilopewa wanadamu kwaajiki ya wokovu wetu; NAYE amesisitiza,"kuweni wamoja kama MIMI na BABA tulivyo wamoja".

Wewe hutakuwa wa kwanza, hata Tony Blair aliyekuwa Waziri Mkuu wa UK amerudi nyumbani Katoliki.
 
Itafikia wakati watu mtakuja kuleta mada za kutujulisha ya kwamba mnaenda kukata gogo.
Mambo mengine ni madogo madogo tu, lakini mnayaanzishia nyuzi! Shida nini?
Kwa sababu ni jukwaa huru. Hakuna shida yoyote
 
Muinglikana kwenda Katoliki, ni sawa na mtoto kurudi nyumbani. Anglikana na Katoliki tofauti ni ndogo sana, zaidi ni masuala ya kiutawala, liturujia ni ile ile moja.
Sisi wakatoliki tunasema karibu sana nyumbano ili kwa pamoja tuuishi Umoja katika Kristo Yesu, jina pekee tulilopewa wanadamu kwaajiki ya wokovu wetu; NAYE amesisitiza,"kuweni wamoja kama MIMI na BABA tulivyo wamoja".

Wewe hutakuwa wa kwanza, hata Tony Blair aliyekuwa Waziri Mkuu wa UK amerudi nyumbani Katoliki.
Na ni kweli tofauti zetu ni ndogo sana ndio maana ni rahisi kwangu kuhamia Katoliki
Ahsante kwa kunikaribisha 😊
 
Kesho kutwa wakitokea maaskofu wenye mrengwa wa kichawa na kujipendekeza utahama pia 🤔
Kwa kanisa katoliki hawawezi kuwa wote.

Hata kabla ya Ruwaichi, alikuwepo Pengo na nyaraka za haki hazijawahi kubadilika.

Hata sasa wamepambana sana kuwagawa, imeshindikana. Wamepanic

Screenshot_20260107_175832_X.jpg
 
Back
Top Bottom