Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,444
Nani kasema? Hata mademu wa Huko mamtoni wanapiga mizinga. Sembuse huko kigali!
Afadhali ya Kigali hawajapigika kiasi hicho
Nani kasema? Hata mademu wa Huko mamtoni wanapiga mizinga. Sembuse huko kigali!
acha zako dogo.....im wa here here(wahapa hapa).....
Afadhali ya Kigali hawajapigika kiasi hicho
Karibu tuishi Mbagala Charambe, nadhani huku sio Tz maana kila mtu anafanya anavyotaka, karibu mpwa
bwa ha ha ha .......huko pemba hujadaka mzungu?Acha we!
Sasa to cut the chase, mie sipigi box, sijawahi kuruka, na sijawahi hata kupanda ndege achilia mbali kumiliki passport.
Sanasana mbali nilipowahi kufika ni kwa mababu zangu kule Pemba.
bwa ha ha ha .......huko pemba hujadaka mzungu?
Mzee mambo ya huku balaa watoto wana sura ya Kihabeshi si unajua tena.
bibi yangu mzaa babu anaishi finland alikuwa akisaka mume wa kumliwaza upo tayari nikuunganishe nae
Hivi nyie huu ujinga wa Tanzania mnaona sawa?Dawa si kukimia tatizo. unatakiwa kukabiliana nalo na kutafunta suluhisho. Ingia msituni mzee ukapambane