instagramboy
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 1,521
- 346
PSPF wana matatizo ila bima ya afya wana matatizo makubwa eti wanahakiki wachangiaji kwa kuwaambia wapeleke picha nza wachangiaji na wategemezi na wanasema wasipofanya hivyo huduma itasitishwa tarehe 27 januari. Pesa wataendelea kupokea ila huduma watasitisha. wangekuwa waungwana kama wangeunganisha mtandfao wao na madirisha yanayotoa huduma ili kujua kama wachangiaji ni halali au la badala ya kuwasumbua hata wateja ambao ni halali
Si kweli.. PSPF inayo utaratibu kqma ilivyo mifuko mingine ya kusajili wanachama wake na kuwapa vitambulisho vya uanachama
kumsajili mteja ktk form hii husaidia kutunza kumbukumbu na kuwa rahisi ktk mchakato wa ulipaji mafao
huduma haisitishwi... Isipokuwa ni vema kwa mtu anayetarjia kustaafu au anayechangia ktk mfuko kusajiliwa