Jamani naomba ushauri kuhusu huu mfuko kwasababu wastaafu wengi wanalalamika wanachelewa lipwa mafao yao kwa wakati mtu kastaafu mwezi wa sita mpk ss hajapewa mafao yake na data zote kapeleka sehemu husika haki kweli hii au pesa zetu zinaliwa huko jamani

Huo mfuko hauna maana kabisa walitangaza wanatoa mkopo wa elimu mzee mzima kufika pale naambiwa mkopo ni kwa wachangiaji wa hiari siyo anayekatwa kwenye mshahara direct,nikachoka!!!!
Huenda hukusikiliza kwa makini semina......
Fao la elimu hutolewa kwa wanachama wa mpango wa hiyari
hata hivyo.. PSPF imelishughulikia jambo hili ktk mpango wa lazima (main scheme) ambapo kuanzia mwakani JULY... watumish watakuwa na haki ya kuchukua mkopo wa elimu hadi kufikia mshahara wa miezi mitatu kwa riba nafuu
Jamani naomba ushauri kuhusu huu mfuko kwasababu wastaafu wengi wanalalamika wanachelewa lipwa mafao yao kwa wakati mtu kastaafu mwezi wa sita mpk ss hajapewa mafao yake na data zote kapeleka sehemu husika haki kweli hii au pesa zetu zinaliwa huko jamani
PSPF hawana lengo la kumkomboa mtumishi katika umaskini, waanzishe utaratibu wa Kumkopesha mwanachama wa lazima Fedha taslimu kabla hajafikia muda wa kustaafu, hakuna sababu ya kumkopesha nyumba ambayo si chaguo lake, mpeni hela akajenge nyumba anayotaka mwenyewe. Acheni kuwafisidi Watumishi

Si kweli... PSPF inatoa mkopo mkopo kwa wanachama wake kabla hata ya kufikia umri wa kustaafu
unaruhusiwa kukopa nyumba au fedha taslimu
pia jambo lingine la pekee.. Mwanachama anayo hiyariya kuchukua nusu ya mafao yake ya uzeeni miaka mitano kabla ya umri wa kustaafu kwa lazima na nusu nyingine akawa na hiyari ya kuichukua atakapostaafu kwa lazima
mfn kama ww ni askari polisi umri wa kustaafu kwa lazima labda ni miaka 50.ukifikisha miaka 45 unaruhusiwa kuchuku nusi ya mafao yako ya uzeen na kumalizia nusi iliyobak ukistaafu
au unaweza kusubiri kuchukua yote kwa mkupuo ukistaafu
pia, PSPF ni mfuko pekee unaomkopesha mtumishi ALIYESTAAFU...... Tena bila riba.... Na pesa hii hukatwa ktk pensheni ya kila mwezi anayolipwa mstaafu
hivyo PSPF imedhamiriwa kumsaidia mtumishi kukabiliana na changamoto za maisha