Nataka kuhama Bongo

Kwanza kabla ujakimbia inabidi tukusachi na utuambie umezipataje.
 
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise

lakini wewe ni mchokozi
 
Chagua kati ya nchi hizi mi nakutafutia visa ya kudumu....Iraq, Syria, Somaly, Sudan (south &west), Palestina au Libya... Hizi nilizotaja zina utajiri mkubwa wa mafuta, unaishi km upo paradise



Acha kumpoteza mkuu!
 
mkuu kwanini unataka kuhama nchi? Ok wa ushaur wangu nenda moja ya scandinavian countries,i.e denmark,sweden au norway,nasikia huko maji ya kunywa unapata kwenye mabomba hata kitaa yakiwa mazur kwa afya

Nchi gani iliyoendelea hawana maji safi na salama? Nijuavyo hizo nchi za wenzetu maji yeyote unakunywa tu na hupati shida
 
ghana, angola, brasil, rwanda, botswana....kwenye idara ya watoto ni noma sana...sina tu uwezo ningeisha sepa siku nyingi sana..
 
MKUU APOLINARY:Nasema kwa mara ya Mwisho mi imetembea Sweden,holland,uswisi,china,sijaona sehemu kama Kericho muu,nakuru na Mombasa,NIMETUMIA MUDA WANGU MWINGI KUTAFAKARI HILI,HATA SHUKRAN HUNA?Siamini bt bdo namini hujachelewa kunipa...ungeniUliza kuna nini...aisee asikuambie mtu hayo maeneo shabab wapo NAROBI TUU Huko ulaya kuna VLADMIR PUTIN ANATAKAKUIPIGA ULAYA KISA KUINGILiA UKRAINE..,NI HOFU HUKO....NJOO KERICHO,NAKURU,hata US Haifikii...APOLINARY...
 

tuambie basi kuna nini huko? ulaya na marekani hizo zilikua zamani wajanja tunalijua hilo...nje ya afrika labda nitupwe brasil au south korea..
 
Nihame hii nchi ya maziwa na asali niende wapi?
Nikubadili mkoa tu.
 
tuambie basi kuna nini huko? ulaya na marekani hizo zilikua zamani wajanja tunalijua hilo...nje ya afrika labda nitupwe brasil au south korea..
Mkuu usisahakumwambia Apolinary kuhusu Kericho na nakuru bila kusaha Mombasa.....Nashukuru wewe umelijuahili mapema
 
Asiyejua aendako hawezi potea njia. Salamu zao.
 
Mkuu kamwe usipate shida, hamia zako Syria kuna maisha mazuri na fursa za ajirta ni kubwa sana. Hapo ukiona kama hujapapenda sana basi nchi nyingine yenye raha na kila aina ya maisha mazuri na wananchi hata kama ni wahamiaji wasio na kazi wanalipwa mshahara kila mwezi...jitupie zako Palestina.
 

sudan kusini
 
kama una pesa na sio kidogo iweke kwenye biashara hapo ulipo uendelee na maisha,next question?

mashine.za kutengeneza.hela.feki wamekamatabiqshara ipi

ama aende.afrikasana awachukue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…