Nataka kugombea ubunge Karatu 2015

Mpaka sasa huna sifa ya kuwa mpunge wetu,tutajie mapungufu ya mzee israel ili tujue utayarekebishaje tofauti na hapo potea na umbea wako.
 
Chadema siyo genge la wasaka madaraka!wengine wanapigwa na "vitu vizito"kila siku kwenye M4C wewe mate yashaanza kukudondoka kabla chakula hakijaiva,huku umekaa mbali huchochei moto.Pale atarudi Natse tu ww endelea kufyatua waalimu.
 
Nakumbuka BED-PSYCHOLOGY 2008 UDSM walikuwa kumi na moja tu na wewe sikukumbuki kuwamo katika orodha. labda DUCE na kama ni hivyo basi ungeainisha!
 
Bora ukate tamaa kwani ukiacha vitongoji vya Shangi, Endalah na Masabeda, naamini hata Kitongoji chako cha Manusay wengi hawakufahamu.
 
Jamani tuache kushambulia kijana. Hata mh. Israel siyo wa maisha anaweza kufa au kuumwa. Vijana inatakiwa kuandaliwa sio kuwakejeli katika nia zao. Je amefanya kosa gani kama wananchi watampenda Israel si ataendelea na kijana akipata si ndo chaguo la wananchi.

Naomba tuangalie kwa mapana. Huyu jamaa kama kweli ana nia aenede karatu agombee nafasi hata za ujumbe huko. Baadaye ajipime kama ana uwezo.

Hata Nyerere aliondoka atakuwa Israel. Hatutaki watu wa kupandizwa bali waliokuwa na nia na matakwa ya dhati kutumikia jamii.

Mi ndigu nakushauri nenda kajipime, bila kuogopa. Hatutaka wabunge wa kupandikizwa.
 
Nina shaka na nia yako kama ni dhabiti,umeulizwa maswali mengi hapo juu umetulia tuu. Ninavyoifahamu CDM inahitaji m2 makini,
 
Hebu jumuisha mambo yako. Mjadala huu ni sehemu ya kujijenga katika hoja. Usije ukawa kama Sioi wa CCM-arumeru mashariki
 
Ameona mwanga wa radi nje akadhani kumekucha!ahaaahaa rudi kalale dogo,kukikucha utaamshwa tu,tutakwenda pamoja,hatuwezi kukuacha bwana mdogo sawa eeh?

Wee mkali mkuu, Ze Komedi Star Search inaaza lini? Ukishiriki, utanyakua hii nafasi
 
Wana karatu hapa hawapo....hebu nenda huko waliko wapigakura wako alafu watakusaidia km unataka msaada. Lakini pia km ni mwana chadema kweli unaweza kuomba ushauri kwa dr.slaa kwani anauzoefu wa kutosha na karatu. Sijajua sana dhamira yako ni nini km ni posho au unataka kuwatumikia zaidi wana karatu ktk kipi ambacho aliyepo au waliopita hawajakifanya.
Chukua muda wako na binafsi naona sehemu uliyopo una nafasi nzuri zaidi ya kuwatumikia wana karatu kuliko kuingia kwenye siasa
 
mie nakuunga mkono kwasababu utafanyiwa zengwe uondoke baada ya 2015 ili silaa arudie kiti chake baada ya kuangukia pua
 
HONGERA sana ila hapo si kuna mbunge au?na ana mapungufu gani na uliwasiliana na uongozi kabla ya kusema haya?na je unaona ni muda sahihi wa kusema hayo kwa sasa?na je hauna njia nyingine ya kulisaidia jimbo lako zaidi ya kugombea ubunge?
NIJIBU

kaka umeulizwa maswali ya msingi sana na huyu ndugu yetu. uhuru na haki yako ya kidemokrasia ya kuchagua na kuchaguliwa isitumiwwe for granted. twambie kwanza mapungufu ulioyaona kwa mbunge aliyeko madarakani.(INAWEZEKANA UMESHAYAONA MAPUNGUFU YAKE NASI WAPIGA KURA PENGINE KWA MUONO FINYU TUKAWA HATUJAYAONA)

kaka katika siasa kuna vitu viwili muhimu wapaswa vifahamu. ENTRANCE AND EXIT STRATEGY. naona kwa kutangaza kwako nia ni kama huvijui hivi vitu ndo maana hata TIMING ya kutangaza kwako nia tunaona kama c muafaka sana. anyway, kila la kheli na hongera kwa kutangaza nia kupitia chama makini. otherwise ningekwambia RIGHT AWAY kwamba POLEEEEE!! mtu hata ungekuwa bora namna gani, ukiingia chama cha ovyo, utashiriki kupitisha maamzi ya ovyo ovyo kwa taifa. na ukiwa wa ovyo lkn ukaingia chama makini, utalazimika au utalazimishwa kuwa makini. NDO MAANA BINAFSI NAANGALIA CHAMA ZAIDI KULIKO SIFA BINAFSI ZA MTU.
 
Jamani tuache kushambulia kijana. Hata mh. Israel siyo wa maisha anaweza kufa au kuumwa. Vijana inatakiwa kuandaliwa sio kuwakejeli katika nia zao. Je amefanya kosa gani kama wananchi watampenda Israel si ataendelea na kijana akipata si ndo chaguo la wananchi.

Naomba tuangalie kwa mapana. Huyu jamaa kama kweli ana nia aenede karatu agombee nafasi hata za ujumbe huko. Baadaye ajipime kama ana uwezo.

Hata Nyerere aliondoka atakuwa Israel. Hatutaki watu wa kupandizwa bali waliokuwa na nia na matakwa ya dhati kutumikia jamii.

Mi ndigu nakushauri nenda kajipime, bila kuogopa. Hatutaka wabunge wa kupandikizwa.

yes kaka tusimkatishe tamaa na sioni umuhimu au ulazima wa mtu kukejeli au hata kutoa tusi. ila bwana mdogo naye asione wenzangu na mimi wanaomkatalia akaona kama wabaya au watu wanaomkatisha tamaa. kama kuna mtu anatoa ushauri wenye kuonesha kama vile haungi mkono tangazo lake, auchukulie kama referendum kwake. yaani namaanisha kuwa aweza ignore haya mawazo then kumbe yanatoa picha flani yenye uwakilishi flani jimboni.

pokea huu ushauri kaka. jiweke karibu na chama ili chama kikufahamu na kitambue mchango wako hata sehemu uliopo. tumia nafasi yako kama mkufunzi ulikosema unafundisha kukiimalisha chama. jiweke karibu na wana-karatu ili wakuone mwenzao hata kama kwa sasa unaishi mbali. unagombea ili usaidie wananchi wa karatu, hebu anza mapema kuwa unawasaidia mambo flani flani. ON TOP usitarget 2015 tu, umri bado unao mzuri. target hata miaka 5, 10, 15 na hata 20 ijayo. UR DREAM CAN 1 DAY COME TRUE bro.
 
I conquor ur sir. Politics is unbalanced play. It can change any time and no one can have your own future, be determinant, finght with focus, one time will be yes.

No one borne politician.
 
Umesema wewe ni tutor , hadi sasa ni jambo gani kubwa ambalo umelifanya ukiwa kwenye nafasi yako ya sasa?
 
Nafikiri ni vyema ukakisaidia chama na hasa Mbunge aliyeko kwa sasa ili afanye vizuri zaidi, vinginevyo kwanini usianzie Udiwani??? Ukapanda ngazi kwa ngazi?? Ubunge uko mbele yako lkn anzia mahali. Mungu akusaidie!!
 
mheshimiwa mtarajiwa......umeona mbunge aliyekuwepo hafai?? au una lipi jipya ambalo utatuletea wanaKaratu??....au ni tamaa ya mali na madaraka ndiyo imekupa msukumo huo????
 
Back
Top Bottom