small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
Hapa ofsin kuna mabinti watatu ambao kidogo wananivutia sasa katika chagua chagua nimekuta nshawaseti wote ila sasa kumalizia ndo napata wasiwasi maana wanakaa ofisi moja na nahisi nikila mmoja watasimuliana halafu nitakosa wengine.Wakuu hebu nipeni mkakati nimalize wote kmya kimya.nawataka wote.