WAPENDWA WANA JF NA WAJASIRIAMALI,
ninataka kuanzisha kampuni ya ku supply vifaa vya ujenzi na umme. ishu ni kufuata utaratibu gani ili nikamilishe mchakato? nini vinahitajika?
pia kama kunachangamoto za hii business, may u please air them out? and the way forward
na the key success factors za hii business.
regards