Nataka kufungua kampuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kufungua kampuni

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by HAZOLE, May 9, 2011.

 1. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  WAPENDWA WANA JF NA WAJASIRIAMALI,
  ninataka kuanzisha kampuni ya ku supply vifaa vya ujenzi na umme. ishu ni kufuata utaratibu gani ili nikamilishe mchakato? nini vinahitajika?
  pia kama kunachangamoto za hii business, may u please air them out? and the way forward
  na the key success factors za hii business.
  regards
   
Loading...