Nataka kufunga CCTV camera

JFMemba

Senior Member
Jun 28, 2021
134
245
Habari wakuu

Nimefungua goli fulani, frame ina ukubwa wa 3.5m kwa 4m (ukubwa wa fremu za maduka zilizopo mtaani). Sasa nakata kuweka CCTV Camera kwa ajili ya kufuatilia kinachondelea maana nimeweka vijana sasa hata kama watakuwa wananipiga ila angalau kukiwa na hiyo kitu wataogopa kiasi.

Nataka mfumo ambao hautakuwa wa gharama kubwa sana ambao utatosha kurekodi kinachondelea kwenye hiyo fremu.

Naomba ushauri wenu mfumo upi wa gharama ndogo wenye ufanisi utanisaidia? Sihitaji makamera mengii.

Bajeti yangu haizidi 200,000

Asante
 
Mkuu hii mifumo ni gharama, may be kuanzia lak 6 unaweza pata mfumo wa camera 4 na ufundi. Chini ya hapo ni uongo, labda kwa hiyo laki 2 ununue camera moja ya kuweka memory card na kufuatilia kwa wifi
 
IMG_1832.jpg

Kama una ujanja wa mitandaoni kuna hadi system za laki 3 unaweza pambana
 
mkuu hii mifumo ni ghalama, may be kuanzia lak 6 unaweza pata mfumo wa camera 4 na ufundi. chini ya hapo ni uongo, labda kwa hiyo laki 2 ununue camera moja ya kuweka memory card na kufuatilia kwa wifi
Mkuu najua ni gharama na nashukuru umeanza kunipa mwanga. Hiyo camera moja na memory card si inatosha. Wengine wanasema Kuna camera za bulb. Gharama za hiyo moja na camera ni bei gani?
 
Back
Top Bottom